Nimesoma huko mimi ni nzuri ndipo aliposoma kikwete ila kunakuchunga ng'ombe kila eiki kwa zamu na kulima sana bustani za michicha na mahindi ni skuli ya kilimo iko nje kidogo ya mji wa tanga eneo moja hivi kwa jina ni Majani mapana karibu na kambi ys jeshi na uwanja wa ndege. Ni kitabu tu tena u.ajisomea mwenyewe breakfast ni uji kila siku sukari yako lunch ugali maharagwe na wali nyama kila jplii kande jumamosi