Walinzi wa Vyama: Red & Green

Walinzi wa Vyama: Red & Green

Benno

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2009
Posts
332
Reaction score
51
Nina Maswali najiuliza sipati jibu

1. Kikundi cha Vijana wenye Silaha ambao sio askari kama vile cha Green Guard. Silaha wanatoa wapi

2. Chama kingine kikiunda kikundi Silaha kitatoa wapi? Same Source? Zinaazimishwa?

3. Wenye Store za silaha ni Vyombo vya dola tuu, if yes, Green Guard ni chombo cha dola?

4. Nani anatoa usajili wa hivi vikundi?

5. Kwanini wakaguzi wa silaha na matumizi yake wao kimyaa?

6. Vikundi hivi ni ruksa Kumiliki silaha za ukubwa upi?

Naona kama kuna hatari mbele yetu
 
  • Thanks
Reactions: Gor
nina maswali najiuliza sipati jibu

1. Kikundi cha vijana wenye silaha ambao sio askari kama vile cha green guard. Silaha wanatoa wapi

2. Chama kingine kikiunda kikundi silaha kitatoa wapi? Same source? Zinaazimishwa?

3. Wenye store za silaha ni vyombo vya dola tuu, if yes, green guard ni chombo cha dola?

4. Nani anatoa usajili wa hivi vikundi?

5. Kwanini wakaguzi wa silaha na matumizi yake wao kimyaa?

6. Vikundi hivi ni ruksa kumiliki silaha za ukubwa upi?

Naona kama kuna hatari mbele yetu
chadema na cuf msikubali...kuna ile ya ccm green guard mpaka vya moto wanavyo
 
Jeshi letu JWTZ ni la CCM, polisi wetu ni wa CCM, Ndiyo maana hata wanaofundishwa mgambo ni wana CCM; wanafundishwa kutumia silaha za moto ni green guards wa CCM!!!

Nchi hii ukitaka usiguswe jiunge na CCM!!

Vijiwe vinavyoharibu mazingira ya mito kwa kuosha magari ni vya CCM!
Waliojenga na kuziba mifereji ya maji ya mvua ni wana CCM!!!

Kila panapofanyika uovo ni pa CCM!! Na hata siku moja hakuna kiongozi atakayechukua hatua dhidi ya wana CCM!!!

Ili haki urudi nchi hii ni kuing'oa CCM!!!
 
Back
Top Bottom