Hao wa chini sio lazima wawe makomandoo, huenda ni kozi za uluteni Usu tu! Hilo zoezi la mwishoni kuvuka kwa kamba hata JKT tulipiga sana tu hata skauti tulipiga.Sizani kama unaelewa protocol ya usalama sijaona kitambi apo nimeona mwili achanisha kitambi na mwili hivi mtu wa usalama aliyebobea katika kuangalia usalama wa Rais lazima awe komando ?
Kumbe mpk nimshike bega?? Mbona sasa kama ni madhara yashakuwa yametokea kabla ya kulifikia bega?
Vibonge wepesiKumbe mpk nimshike bega?? Mbona sasa kama ni madhara yashakuwa yametokea kabla ya kulifikia bega?
Wapunguze vitambi bana, warudi kwa zoezi wawe na fit bodies!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mpuuzi mzururaji jaribu kusogea karibu uone moto wake sio wazembe kama uHabari!
Leo niliamua kushangaa kidogo ufunguzi wa kiwanda cha unga wa mahindi hapa kambi ya Mlale Songea! Nimefanikiwa kuwa mbele mbele kidogo hivyo tukio zima nimelishuhudia vyema!
Kuna haka ka changamoto ka walinzi wa raisi kuwa na vitambi plus unene usio na mpangilio, hivi hii imekaaje?
Yaani na mazoezi yote wanayofanya bado wanafuga vitambi? Jeshi haliwezi kupanga refresher trainings za kuwaporomoa vile vitumbo?
Kwa nini wasijifunze toka majeshi ya wenzetu?
Raisi anakonda, walinzi wake wananenepa!
Nashauri: Mtu akishindwa kuporomosha tambi lake aondolewe kwenye list ya walinzi wa The first One!
Wanajeshi nanyi hivyo vitambi mnavyofuga mviporomoe asee! Kama mmeshindwa hilo mkapashe misuli kidogo huko makambini au in real battles!!View attachment 1066009View attachment 1066022View attachment 1066023View attachment 1066024
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, hujui unaongea nini! Nenda hata mgambo utapata ABCs walau za ulinzi wa mtaa!Wewe mpuuzi mzururaji jaribu kusogea karibu uone moto wake sio wazembe kama u
Ulivyo wewe Na Tumbo lako kama Meneja WA beer
Atakuwa aliamua kutii ushauri wa mwalimu wake wa kozi! Unene ni uchaguzi wa mtu, kuupata rahisi sana ila kuuondoa ndo issue! Ila kwa zoezi kama pa pale TMA utapungua mpk nywele!ila huyu jamaa wa mbele kajitahidi kidogo kupungua maana alikua bonge balaaView attachment 1066090
Sent using Jamii Forums mobile app
ila kwa life la ikulu kuondoa kitambi ni ngumu sana, mfano mzuri ni yule jamaa black alie kua nae toka kwenye kampeniAtakuwa aliamua kutii ushauri wa mwalimu wake wa kozi! Unene ni uchaguzi wa mtu, kuupata rahisi sana ila kuuondoa ndo issue! Ila kwa zoezi kama pa pale TMA utapungua mpk nywele!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, ni ngumu. Ila kwa wenzetu, wangekuwa wanarudi refresher courses mf miezi 3, ukirudi uko fit kabisa. Au kuna kupangiwa kazi ingine wanaingia wengine. Mf pale Vatcan, walinzi wa rais huwa na 25 yrs, ukizi tu, unapunguzwaila kwa life la ikulu kuondoa kitambi ni ngumu sana, mfano mzuri ni yule jamaa black alie kua nae toka kwenye kampeni
Sent using Jamii Forums mobile app