Walinzi wa jkt

Walinzi wa jkt

Kwa mujibu wa sheria kuu na sheria ndogondogo za nchi hii hakuna anayeruhusiwa kupanda gari la abiria(usafiri wa umma) bila malipo.
Hata askari na maofisa wa majeshi mbalimbali hawaruhusiwi.
Kama mwanafunzi asiyepokea mshahara analipa angalau nusu ya nauli, je, askari aliyeajiriwa?
Tena wanafunzi wengine wazazi au walezi wao ni duni mno.
Hii ilianzia utawala wa Mwinyi, kuna kipindi wanafunzi wa Dar es salaam walipewa ofa ya kupanda bure ndipo wanajeshi nao wakasema nasisi tunalinda nchi twapanda bure. Na majeshi mengine yakafuata mkumbo.
Mimi naomba wanafunzi wapande bure hasa wa S/msingi.
Wanafunzi kaka haswa wa Primary naunga mkono hoja kwa asilimia 100% kipindi cha nyuma nkiwa kwenye daladala Ilikuwa hata kama kuna wanafunzi kumi Basi wote ntalipa izo 200 zao yani ilikuwa siwezi kumuona denti anatoa mia mbili Ivi nakumpa konda
 
Hawa jamaa wanaboa sana.... mfano pale feli busisi jamaa wanajisikia utadhani kila anaesafiri ni mjinga kama wao
Siku moja natoka geita nafika pale kwa nje naona akina mama wanauza samaki nikaenda kununua tulikua watu wengi jamaa linakurupuka rudini ndani nikamwambia nasubiri chenji kwa maza hapa jamaa linakomaa nasema rudi ndani amri ya jeshi ni moja rudi ndani nikamwambia sitaondoka mpaka nilipwe pesa yangu... na kama tatizo ni hilo kwann wasiwazuie wamama wasilete samaki pale..
Siku ya pili juzi naenda geita asubuhi... feri moja mbovu alafu eneo la kukaa abiria wanafanya usafi nadhan walifika pale wanajua palivyo pachafu buibui pale ndo ikulu abiri tukawa nje jamaa moja linakuja kwa jazba nasema ingieni ndani watu wanasema pachafu jamaa alikomaa akasimamisha usafi watu wakae ndani tumekaa ndani mle pachafu...
Alafu hawa jamaa wakivaa hizi sare uwa zinawadanganya sana nadhan
Wajinga hao mimi nangoja siku wajichanganye kwangu, Ntapigana nao kavu kavu, Askari gani unakosa weledi wa kuongea na Rais kisa una gwanda ndio unataka uogopwe huu ni UJUHA siku mimi akinidindia ntaweka Beg chini na Kumfumdisha adabu
 
Achana na kitu kinaitwa 'STRESS', stress za kipigika miaka miwili alafu utoke Ziii!!! ndio unaishia kuwa 'Mwehu!'
 
Mi ninge kuwa konda ningechakaza wote.. Mbaka hao police +wanajeshi.
 
kama hawakua na nauli wangeomba msaada kwa konda awasidie wanakoenda kabla hata hawajaingia ndani ya gari..........yani kama hao ilibidi kwanza wapokee kichapo kizito cha wananchi then wapelekwe polisi.

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Kujichukulia sheria mkononi si jambo zuri hata kidogo, na ni kinyume na sheria ya haki za binaadamu...!
 
askari wa jkt ni service man hao ni walinzi kama walivyo kk security ambao wanapata kuwa walinzi baada ya kumaliza mkataba na jkt hao ni jeshi la akiba kama mgambo tu
 
hao sio askari no jeshi la akiba kama walivyo mgambo
 
Back
Top Bottom