JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
..Area D eneo aliposhambuliwa TL ni makazi ya Naibu Spika Dr.Tulia na Waziri wa Nishati Dr.Kalemani.
..Kwa kawaida makazi ya viongozi wa ngazi za juu kama hao hulindwa na askari wenye silaha.
..Pia kiutaratibu askari hao huwa hawaruhusu mtu yeyote yule kuingia ktk maeneo wanayoishi viongozi bila kutambuliwa na kufanyiwa ukaguzi.
..Mh.Tundu Lissu alishambuliwa kwa silaha za kivita akiwa ndani ya eneo la makazi ya viongozi.
..Wananchi tunapaswa kuelezwa waliomshambulia Mh.Lissu waliingia ktk makazi hayo kwa utaratibu upi.
..Walinzi walikuwa wapi na walichukua hatua gani baada ya kuona shambulizi lile.
..Walitoa taarifa wapi, kwa nani, na wakati gani.
..Lakini kama kulikuwa hakuna walinzi tunapaswa kuelezwa ni kwasababu gani. Je, walinzi hawakuwepo wakati wa shambulizi tu, au wakati wote? Pia ni nani alichukua uamuzi wa kuondoa au kutokuweka walinzi kabisa?
Cc Mwanahabari Huru, Mag3, Nzi, Zanika, MTAZAMO, masopakyindi, Nyani Ngabu