SHIVA MAINA
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 293
- 42
jaman punguzeni jazba mm n mwl.nina mwaka mmoja kazini. BAED UDSM 2010 - 2013 walimu niliowakuta hasa walioajiriwa kabla ya 2000's kiukweli ni waoga sana sijui walifanywa nini.ila kwa changamoto tunazowapa sisi walimu vijana watabadirika na kuwa sehemu ya ukombozi badala ya kuwa wakala na nguzo ya nyinyiemu.
kuweni wapole vijana tupo kazini kwa wanafunzi na walimu waoga ila siyo failures ni uhakika wa ajira kutokana na hali ya familia zetu ndicho wengi wetu kimetuleta huku ila tulifaulu vizuri tu!
Shy land sorry nimeteleza lengo langu ni huyo marere sorry for that.
walimu wengi ni mbulula hawajitambui , wangejitambua ccm 2010 isingeshinda
mwl hawezi kuanzisha thread kama hii ya uchonganishi nina wasiwasi na wewe pia aliesema hujitambui hakukosea.
mkuu.. kuna ulazima wa kutaja chuo ulichosomea?
Walimu hawaruhusiwi kupiga kura
Skype siku nyingi sikuoni. umerundi nisha-develop kwa sasa najua kuandika kiswahili fasaha kama bakita.