Walimu Wenzangu Piteni hapa Tujitafakari....

Walimu Wenzangu Piteni hapa Tujitafakari....

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
walimu wenzangu piteni hapa tujitafakari.....maana hakuna namna nyingine.:biggrin1:
10422523_769266873118238_5181137834919322764_n.jpg
 
Sa hapo tutafakari nini? Acha utoto na sio bure we utakuwa wa primary
ndg,
siyo kila kinacho letwa JF lazima ukipe nafasi kubwa ya kushughulisha ubongo.mengine tunaleta kama utani tu wa kuchangamsha forum.bila shaka umenielewa.
 
Kazi ya malezi ni ngumu. Mwalimu ni mzazi wa tatu baada ya Mungu & your biological parents. So, hizo ni changamoto za malezi, poleni & hongereni walimu kwa kazi hii nzito ya kulea watoto ambao hamjawazaa.
 
Back
Top Bottom