Walimu wenzangu: Hivi ukiwa mwalimu ni lazima uvae manguo yasiyoeleweka, oversize na malonya?

Habari za jioni Jf........

Asilimia kubwa sana ya walimu nguo tunazovaa kwakweli kuna muda ukikaa kumtizama mtu unacheka kimoyo moyo, mwalimu wa kike unakuta kavaa gauni panaaa linaishia katikati ya miguu sio fupi sio refu, kama ni sketi basi sehemu ya hips imezidi inakua kama nguo ya kuazima, chini sandals, koti oversize, wengine hadi na nywele twende kilioni......vivyo hivo walimu wa kiume shati bongee la shati mkono unashindwa kujua ni la mikono mifupi au mirefu, suruali buga (bwanga) mkanda haujulikani rangi, mkanda mrefu unazungushwa kama kanga... Hii ni kwa ufupi ila tuna mengi mno.

Walimu kwanini tunavaa hivi? Tumeshindwa kutofautisha kati ya haiba na kuwa smart?? Haiba ni kuvaa nguo oversize au lonya? Au ni akili tu tumezitune manguo ya ajabu ajabu ndo yetu? Sijui wanafunzi huwa wanawatuwazia nini...

Cha ajabu hata walimu wanafunzi nao wanakuja field nguo wanazovaa mmh, naishia kuwaza nnavowajua Wanachuo vivazi vyao wakiwa chuo, very smart wanakuja field utadhani ni watu wametoka vijijini, sketi imeungwa vipande saba yani ipo kama kabeji
Tujirekebishe jamani haiba sio kuvaa malonya
Tatizo unafananisha mwalm anayefundisha vitoto vya town vinavyokuja shule na chupa za maziwa na mijana dume ya maporini huko wanaokuja shule na nyembe zakunyolea ndevu.

Miaka hiyo ya zamani huwezi kuvaa limini chako na kichupi cha uzi katikati eti umuadhibu mwanafunzi, anakichana kichupi chako na mipedi inamwagika hadharani na wanakucheka darasa zima na huna chakufanya.

Walimu wa vijijini anaenda shule kama anaenda shambani, mitope, barabara za vumbi, staff ni kukalia mabenchi kama dispensary. Sasa wewe unatakaa kwenye sofa si lazima uvae kama unaenda kuoga, huko kwa wazee wa kazi utalia lazima.

Walimu wakike wengi wanaotoka town wakipangiwa vijijini kitu chakwanza wakifika shuleni ni kilio. Wanawakuta kaka zao ndio wapo darasani, mitoto mitukutu. Vaa mini ukiinama watu miluzi, ukiibuka kimya, ukiandika vitako vimejiachia na bikini vinakwenda kama mawimbi, watu hahahahahaha, kesho unafunga begi unaondoka.

Acheni kufananisha vishule vya wavaa pempasi na mashule yaliyopinda maporini huko. Hata hizi sharo za town haziwezi kufundisha huko wakiwa wamevaa milegezo, wataaibika kabisa.

Ninauzoefu na hili ukitaka ushaidi ntakupa.
 
Hahaaaa!!! Yaani dota nilipoajiriwa nilipata shida sana, kila nguo ninayovaa mkuu wa shule ananiambia fupi mara inabana, damn!! Nikamuuliza unataka nivae kama mbibi au!!!
Kuna siku wanafunzi wangekubaka. Huwezi kuwafundisha wanafunzi wamedindisha, ningekuwa mm mkuu wako ningekuweka wazi hawa watoto wameshakuwa na wato.mbana hivyo ukivaa kuwatamanisha watadindisha na somo halitaeleweka.

Ukaamua kwenda kuwafundisha au kuwadindisha
 
mwanamke akivaa hivi anapendeza kinoma halafu na mguu uwepo duu basi huniuwa kabisa
Sisi tulikuwa tunswachungulia walimu wakike wanaovaa vimini. Kuna ile michirizi ya utamu nyuma ya goti basi weeeeeeeeee, akiingia ticha wakiume watu hawaelewi kabisa, ukisikia ticha wakike kipindi kinaanza basi tukiwa mstarini tu watu wanaambiana leo michirizi ya utamu

Akitia timu class watu wanaamkia kwa sauti kubwa shkaaaaaamoooo mwaaaaaaalimu, usifikiri wanakuheshimu wanapasha kuangalia michirizi ya utamu. Unaweza kushangaa mwanafunzi anakuangalia lakini hayupo kwenye kipindi anaangalia chuchu na makunyazi ya michirizi.
 
Maneno ya mwalimu mpya hayo, baada ya miezi mitatu utajua kuwa mshahara wa mwalimu ndio unaamua mavazi yake.
Mm wakati nasoma mwalimu yoyote mwenye kimini hanipigi hata iweje, tulikuwa tunawadharau kupita maelezo. Ukivaa mini tunakuangalia michirizi ya utamu alafu tunamalizia kukutathmini na huko ndani kwenyewe ukoje.

Kuna mmoja one day alisikia kuku kwake wanapiga kelele, akanituma hebu kaangalie, ile nafika jogoo anamalizia kimoja. Nikarudi nikamwambia kuna kuku mmoja mvaa kimini alikuwa amelaliwa na jogoo.

Alinichukia maisha yote hadi namaliza shule. Hahahaha
 
Evelyn kiboko sana aiseeh nimejikuta nacheka kama mjinga, ila kama wewe ni mwalimu alafu ukawa na mavazi ya hovyo lazma utokwe povu kwasababu kiuhalisia ndivyo tulivyo huwa hatupendi kuambiwa UKWELI.
Inategemea na mazingira, kuna shule ziko hovyo hatari. Huwezi kupiga mini na tope kianzia mlango wa nyumba yako hadi shuleni, ukiteleza tu mambo hadharani
 
Kweli kabisa,sijui sababu huwa ni nini,yaaani unakuta binti mdogo anajiweka kama mbibi kimavazai.Ila walimu wa shule za msingi nawapa heko kwa kupiga pamba
 
Inategemea na mazingira, kuna shule ziko hovyo hatari. Huwezi kupiga mini na tope kianzia mlango wa nyumba yako hadi shuleni, ukiteleza tu mambo hadharani
Swala sio kuvaa kimini mkuu kinachotakiwa ni kuvaa nguo nzuri wawe smart, tatizo wanavaa manguo yasio eleweka wanaonekana wachafu, ila wakivaa nguo zao simple tuu zinazowatosha mbona watapendeza na kuonekana nadhifu kama watu wa taaluma zingine.
 
Ww utakuwa ni brazamen, hao wasichana ndio useme wamevaa kiheshima?, hv unavaa suruali zenye linda na chini kbs znawekwa pindo?, mkuu naamin ww ni mwendo wa kadeti kali nyembamba flani halafu juu una tommy Matata imemodolewa , kheee haya bana.
Hujakosea mi ni kidume cha mbegu ticha flani mwenye six packs zangu
 
Walimu wengi wanavaa ivo kwa sababu ya unoko wa mkuu na msaidizi wake, kijana ukitupia wata kuita watakuambia mara ho mavazi yako hayaendan na ethics za ualimu ,ww unava 13 chini mkuu na msaidizi wake wanarange kwenye 18-22 ,na wanataka na ww uvae hivo hivo ,ukjitahd sana mwalmu wa mwendokasi unaishia 16
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom