Walimu wapya Tubadilishane

Walimu wapya Tubadilishane

Israel masawe

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
143
Reaction score
58
Mwalimu Wa Grade A III. anaye taka kuja Arusha aliyepata Ajira mpya au wale wazamani aliyepangiwa Mkoa wa Kilimanjaro. Au Arusha wilaya ya Meru au Arusha V awasiliane ili Aje Arusha mimi Niende Kilimanjaro Au wilaya Ya Meru. 0755883313
 
real mtwara kuna gesi bt inaletwa Dar kule kunabaki pamp. Pamp na chaki wapi na wapi teh teh teh
 
natafuta mtu aende arusha mi niende dar moro au pwani tuwasiliane kwa 0653610163
 
Back
Top Bottom