Mwalimu mbona povu....uache tabia ya kuharibia watoto malengo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaa;
Naomba nikuulize swali la kitoto tu; Ni mtoto yupi ambaye unaweza kusema ana malengo ya maisha?? Mkuu mwenyewe kaliona hili kuwa analipa pesa za bure kwa wasio na malengo.
Msichana mwenye lengo anajua kuwa chips ni viazi tu, hivyo hata vipaparikia.