Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,836
- 9,325
Uongo wako unaanzia hapaWakati nasoma niliona haya kwa walimu yanayohuzunisha.
1. Kushindia mihogo ya 500 na mapera kuanzia asubuhi hadi jioni ili
kubana matumizi.
WameshapoaPoleni sana.
Yote niliyoandika nimeyaona kwa macho yangu.Chumvi ni nyingi Sana kwenye mada yako
Unajua vyema kipato chao?Sema baadhi ya walimu wasio na nidhamu kwenye mipango ya matumizi ya pesa ndio wenye hilo tatizo
Wako walimu kibao wana.magari binafsi na majumba hadi ya kupangisha na biashara na watoto wao husomesha English medium
Heshima kwenye matumizi ya fedha ndio kigezo kikuu kinachotofautisha hali walimu
Nakazia.Sema baadhi ya walimu wasio na nidhamu kwenye mipango ya matumizi ya pesa ndio wenye hilo tatizo
Wako walimu kibao wana.magari binafsi na majumba hadi ya kupangisha na biashara na watoto wao husomesha English medium
Heshima kwenye matumizi ya fedha ndio kigezo kikuu kinachotofautisha hali walimu
Ni kweli mkuu, kuna mwalimu jirani yangu anabeti mpaka laki tatu, kukicha anakuja kukukopa elfu kumi ya mboga nyumbani .Sema baadhi ya walimu wasio na nidhamu kwenye mipango ya matumizi ya pesa ndio wenye hilo tatizo
Wako walimu kibao wana.magari binafsi na majumba hadi ya kupangisha na biashara na watoto wao husomesha English medium
Heshima kwenye matumizi ya fedha ndio kigezo kikuu kinachotofautisha hali walimu