Kweli ww ni kurunzi....nani awezaye kufanya kazi na njaa?? Serikal yako ya ccm iliyoku2ma si ndo inatupeleka mahakaman baadala ya kuboresha maisha yetu. 2nafanya kazi kwenye mazngira magum,umeme wala maji hakuna, makaz duni,mlo duni, vitendea kaz duni, mishahara ambayo ndo inge2fariji kw masikitko makubwa ndo kiduchu kupta maelezo. THEN NDO UNAKUJA KUTUBEZA ETI TUJENGE JAMII....Muta edit matokeo hadi mukome.