Walimu waingiliwa kimwili usiku huko Kibondo, Kigoma

Walimu waingiliwa kimwili usiku huko Kibondo, Kigoma

Dushelele

Member
Joined
Sep 17, 2012
Posts
10
Reaction score
12
Waalimu wa kike wawili wamejikuta wakiingiliwa kimwili usiku na watu wasiojulikana huku waume zao wakijikuta wamelala chini.

Tukio hili linalohusishwa na imani za kishirikina limetokea miaka miwili baada ya matukio kama hayo kutokea na kisha kukemewa vikali na wana kijiji na kisha kupungua.

Chanzo : RFA
 
Nimeisikia RFA Matukio, hali inatisha...
 
wapeleke mabaki kwa mkemia mkuu pamoja na chembechembe wa washukiwa kufanyiwa DNA TEST. KIGOMA bado ni nchi ya giza. Dawa waukubali ukristo na pia wale na walalie mifupa ya kitimoto. ushauri wa bure.
 
Kibondo hayo mambo ni ya kawaida,halafu kuna ule uchawi wa radi ogopa sana.Kwa kweli kuishi Kigoma kwa ujumla yataka moyo
 
wapeleke mabaki kwa mkemia mkuu pamoja na chembechembe wa washukiwa kufanyiwa DNA TEST. KIGOMA bado ni nchi ya giza. Dawa waukubali ukristo na pia wale na walalie mifupa ya kitimoto. ushauri wa bure.

Kigoma ni nchi sahivi?
 
Kibondo hayo mambo ni ya kawaida,halafu kuna ule uchawi wa radi ogopa sana.Kwa kweli kuishi Kigoma kwa ujumla yataka moyo

Kweli kabisa mkuu katika mikoa sitaki hata kuisikia ni Kigoma. Uchawi umetawala sana kule, kunahitaji moyo kuishi. Sitaki kwenda hata kwa kutalii tu.
 
Aiseee, naombeni masaada nisije nikapigwa ban. Hivi hawa wanaosema ni kawaida inamaana wanaingiliwa...!!!!?
 
Back
Top Bottom