Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,195
- 1,472
Siyo tu Walimu,hata serikali nayo mpango wake ni huohuo (ALIYE TUMWA KUSOMA ASOME VILEVILE ALIYEENDA KUKUA NAYE AKULIE SHULENI) baadae akawe mpiga kura.Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa haraka kwa watu wenye akili ndogo
Walimu wa Tanzania ni kama wapo katika passive resistance na mgomo baridi now day hawajitoi saana kwenye masuala ya kufundisha
Tunaona walimu wanoko wamepotea kabisa. Walimu wafia shule hawapo siku hizi
Hakuna tution za walimu(tuisheni nyingi siku hizi wanafundisha vijana waliomaliza form six na vyuo)
Walimu wameamua kufanya kazi yao kama sehemu tu ya kupata mitaji na kuwa busy na biashara zao
Wale walimu wakali wametoweka kabisa (now day hawataki kuhangaika na mtoto wa mtu ufanye zoezi usifanye utajijua)
Walimu ambao wanafundisha shule binafsi wakiajiriwa serikalini ni kama wanafika na kustaafu(hawajitoi kwa chochote nguvu yote walimalizia huko shule binafsi)
Now day wanafundisha ili kumaliza muda wa vipindi tu sio kwa ajiri mwanafunzi aelewe UKIELEWA SAWA USIPOELEWA UTAJIJUA
Naandika haya nikiwa nimezunguka shule kadhaa na kuongea na baadhi ya walimu shule nilizofika
Mwanza
•Pasiansi sec
•Ilemela sec
•Buhongwa sec
Kigoma
•Katubuka sec
•Mlole sec (shule ya serikali inayofanya vizuri)
•Mwandiga sec (ilikuwa inafanya vzr way back now ipo hoi)
•Gungu sec (hii ndio vituko kabisa Academic wake kuanzia saa 9 mchana anakuwa bodaboda)
Morogoro
•Mgeta sec
•Rondo sec
Ni muda sasa serikali iangalie namna bora ya Kuboreshe maslahi ya walimu iachane na msemo wa kuwa UALIMU NI WITO ili kuokoa sekta ya ELIMU NCHINI
Siyo tu Walimu,hata serikali nayo mpango wake ni huohuo (ALIYE TUMWA KUSOMA ASOME VILEVILE ALIYEENDA KUKUA NBaada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa haraka kwa watu wenye akili ndogo
Walimu wa Tanzania ni kama wapo katika passive resistance na mgomo baridi now day hawajitoi saana kwenye masuala ya kufundisha
Tunaona walimu wanoko wamepotea kabisa. Walimu wafia shule hawapo siku hizi
Hakuna tution za walimu(tuisheni nyingi siku hizi wanafundisha vijana waliomaliza form six na vyuo)
Walimu wameamua kufanya kazi yao kama sehemu tu ya kupata mitaji na kuwa busy na biashara zao
Wale walimu wakali wametoweka kabisa (now day hawataki kuhangaika na mtoto wa mtu ufanye zoezi usifanye utajijua)
Walimu ambao wanafundisha shule binafsi wakiajiriwa serikalini ni kama wanafika na kustaafu(hawajitoi kwa chochote nguvu yote walimalizia huko shule binafsi)
Now day wanafundisha ili kumaliza muda wa vipindi tu sio kwa ajiri mwanafunzi aelewe UKIELEWA SAWA USIPOELEWA UTAJIJUA
Naandika haya nikiwa nimezunguka shule kadhaa na kuongea na baadhi ya walimu shule nilizofika
Mwanza
•Pasiansi sec
•Ilemela sec
•Buhongwa sec
Kigoma
•Katubuka sec
•Mlole sec (shule ya serikali inayofanya vizuri)
•Mwandiga sec (ilikuwa inafanya vzr way back now ipo hoi)
•Gungu sec (hii ndio vituko kabisa Academic wake kuanzia saa 9 mchana anakuwa bodaboda)
Morogoro
•Mgeta sec
•Rondo sec
Ni muda sasa serikali iangalie namna bora ya Kuboreshe maslahi ya walimu iachane na msemo wa kuwa UALIMU NI WITO ili kuokoa sekta ya ELIMU NCHINI
Hizo ni fijkra zako potofu tu.Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa haraka kwa watu wenye akili ndogo
Walimu wa Tanzania ni kama wapo katika passive resistance na mgomo baridi now day hawajitoi saana kwenye masuala ya kufundisha
Tunaona walimu wanoko wamepotea kabisa. Walimu wafia shule hawapo siku hizi
Hakuna tution za walimu(tuisheni nyingi siku hizi wanafundisha vijana waliomaliza form six na vyuo)
Walimu wameamua kufanya kazi yao kama sehemu tu ya kupata mitaji na kuwa busy na biashara zao
Wale walimu wakali wametoweka kabisa (now day hawataki kuhangaika na mtoto wa mtu ufanye zoezi usifanye utajijua)
Walimu ambao wanafundisha shule binafsi wakiajiriwa serikalini ni kama wanafika na kustaafu(hawajitoi kwa chochote nguvu yote walimalizia huko shule binafsi)
Now day wanafundisha ili kumaliza muda wa vipindi tu sio kwa ajiri mwanafunzi aelewe UKIELEWA SAWA USIPOELEWA UTAJIJUA
Naandika haya nikiwa nimezunguka shule kadhaa na kuongea na baadhi ya walimu shule nilizofika
Mwanza
•Pasiansi sec
•Ilemela sec
•Buhongwa sec
Kigoma
•Katubuka sec
•Mlole sec (shule ya serikali inayofanya vizuri)
•Mwandiga sec (ilikuwa inafanya vzr way back now ipo hoi)
•Gungu sec (hii ndio vituko kabisa Academic wake kuanzia saa 9 mchana anakuwa bodaboda)
Morogoro
•Mgeta sec
•Rondo sec
Ni muda sasa serikali iangalie namna bora ya Kuboreshe maslahi ya walimu iachane na msemo wa kuwa UALIMU NI WITO ili kuokoa sekta ya ELIMU NCHINI
Fijra = fikiraHizo ni fijra zako potofu tu.
Usifanye wakapewa "passive dose".
Umesahau mgomo wa dakatari ulimalizwa vipi?
Shule ulikuwa unafundishwa na somo la uzembe pia?!Hizo ni fijra zako potofu tu.
Usifanye wakapewa "passive dose".
Umesahau mgomo wa dakatari ulimalizwa vipi?
Typing error sizani bibi huyu kakosea kuandika kiswahili fasahaFijra = fikira
Dakatari = dakitari
Sizani=sidhaniTyping error sizani bibi huyu kakosea kuandika kiswahili fasaha
Faiza, umri umeenda aiseee!! Siku umekua mbibi wa ovyoHizo ni fijra zako potofu tu.