Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Ulivyoandika jamani mpaka nimetafuta miwani yangu ya jua sahizi usiku[emoji3][emoji3]Very simple chief....
Walimuwashulezamsingiwanaishimaishayakawaidasanahawanywibeerkutokananaugumuwamaishapamojanamishaharamidogo.
Aukamavipinawekasomeeualimuwachekecheandiohautozeekaharakakulikohatamwalimuwashuleyamsingi.
Ndiomaana nataka kuacha pombe...😑Ulivyoandika jamani mpaka nimetafuta miwani yangu ya jua sahizi usiku[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiomaana nataka kuacha pombe...[emoji58]
Nilikutana na bibi wa miaka 100, bado anapika chai yake na anakwenda kuoga bila msaada wa mtu. Aliniambia alikua Mwalimu. Anao watu wa kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Mkikaa mnapiga stori, anakumbuka yaliyotokea mwaka 40, 50, 60 …
Kupiga chaki ndiyo siri ya kutozeeka.Wakuu.
Fanya uchunguzi mdogo wa waalimu wako waliokufundisha shule ya msingi miaka hiyo, saivi kila unaporudi likizo wapo stable , wakakamavu na strong kabisa. Ila jikague wewe mwenye umri mdogo, unazeeka na kuchoka kwa speed ya ajabu sana.
Unamkuta mwalimu mstaafu over 10 years lakini yuko fiti kabisa , wachache sana wanatumia miwani.
Check sasa mtu aliyestaafu wa kada nyingine, anachoka haraka mno na kufa mapema sana.
Nini siri ya walimu wa Shule za Msingi kuchelewa kuzeeka ?
Walimu wanaishi maisha simple sana kutokana na vipato vyao vidogo ukilinganisha na yale mafisadi kule serikalini! Hivyo hata vyakula vyao vya kila siku huwa ni vile vyakula vya kawaida tu. (NB: vyakula karibia vyote vitamu wanavyokula watu wenye vipato vikubwa, ni sumu)Wakuu.
Fanya uchunguzi mdogo wa waalimu wako waliokufundisha shule ya msingi miaka hiyo, saivi kila unaporudi likizo wapo stable , wakakamavu na strong kabisa. Ila jikague wewe mwenye umri mdogo, unazeeka na kuchoka kwa speed ya ajabu sana.
Unamkuta mwalimu mstaafu over 10 years lakini yuko fiti kabisa , wachache sana wanatumia miwani.
Check sasa mtu aliyestaafu wa kada nyingine, anachoka haraka mno na kufa mapema sana.
Nini siri ya walimu wa Shule za Msingi kuchelewa kuzeeka ?
Account hacked!Very simple chief....
Walimuwashulezamsingiwanaishimaishayakawaidasanahawanywibeerkutokananaugumuwamaishapamojanamishaharamidogo.
Aukamavipinawekasomeeualimuwachekecheandiohautozeekaharakakulikohatamwalimuwashuleyamsingi.