sasa... mbona habari inasema Mtwara na pengine inasema ruvuma? au sio bongo? hata ivo waacheni waalimu watatue matatzo yao madogomadogo, kwa mshahara upi wa kuendea gesti!?... kama pana utulivu utoshao... hamna vijokajoka vya kuwakurupusha... twende kazi!...
Walishindwa hata gesti za 5000????Aiseee??????
Walimu wa shule ya msingi mkoani ruvuma wanaswa wakivunja amri ya 6 ya mungu VICHAKANI.... walimu hao uwa wanatoka kwenda vichakani kwa kisingizio eti wanatafuta FIMBO... siku 40 zao zilipofika ndo camera ikawamulika. Mkuu wa shule kaziona izo picha na kukiri wale wote ni walimu wa shule hiyo......������
![]()
kosa lao ni nini hasa?
Walishindwa hata gesti za 5000????Aiseee??????
Hata kama rusherere na mbunye zimeingiliana shida iko wapi? Wana tofauti gani na wanaokulana kwenye gari au ofisini? Wote mwisho wao ni bao moja tu. Kwa staili hii bao la pili haliwezekani. Urefu wa kamba yao inawaruhusu kichakani. Wenye nazo wanafanya kwenye Prado.
Jamani kila baya anapewa mwalimu!! Una uhakika hao ni walimu?
Mie sion tatizo miili yao na vinyegere vyao haviusiani na taaluma yao