blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 10,446
- 12,599
Una hoja nzuri ila umeshindwa iweka vizuri.Nimeshangazwa na Maamuzi ya Baraza la mitihani NECTA kwa kuridhia usimamizi wa mitihani ya shule za msingi kufanywa na walim wa sekondari!!!Nadhani huu ni udhalilishaji wa taaluma za watu!!!
Hivi leo mwalimu mwenye shahada ya elimu sekondari amesomea wapi saikolojia ya kusimamia watoto wa Darasa la nne???Ni ufanisi gani haswa Barasa limelenga kupima?Kulikua na Haja gani ya kuwatumia walimu wa sekondari kwenye kusimamia Darasa la nne na saba!!!!
Pia walim wa msingi kusimamia sekondari sio kuharibu misingi ya taaluma za watu???
Mbinu hii haitaleta tija kwenye elimu yetu zaidi ya kuonyesha uvivu wa kufikiri kwa Watendaji wa NECTA!!!
Nashauri utaratibu wa zamani uendelee na maboresho yafanyike ili kutatua tatizo la mitihani kuvuja!!!!
Kwani mtu anayeendesha yale ma semis hawezi endesha vits!??
Zote ni taaluma, shida hapa kuna siasa ya kipumbavu tu. Eti kuzuia cheating...!??