Kasyeto Pandora
Member
- Jan 28, 2018
- 13
- 5
Kwanza pongenzi kwenu kwa majukumu yenu. Ni kwaida sana katika nchi yetu kukuta mwalimu yuko peke yake katika shule husika.
Ni ukweli usiofichaka kuwa licha ya uwingi wa vipindi bado mlio wengi hufanyaka majukumu mengine kama WATAALAMU WA MAABARA.
Maajabu ni kuwa serikali bado haioni mchango wenu.Kibaya zaidi ni pale mnapoomba kuhama. Mnakataliwa wakidai hakuna watu wengine/Mbadala wenu.