Walimu wa masomo ya arts

Walimu wa masomo ya arts

shyja

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
410
Reaction score
67
wanajamvi habari zenu. Leo ninapenda kupatiwa msaada juu ya hii kitu. Kumekuwa kuna ongezeko kubwa la walimu wa masomo ya sanaa. Lakini leo ningependa kuzungumzia juu ya jiografia na kiingereza. Hivi ni somo lipi kati ya hayo tajwa limeongezeka walimu wake kuzidi jingine? Na je, ongezeko hili linaleta mabadiliko katika ufaulu kwa wanafunzi(o'level na a'level)? Ahsanten. Kama hauvutiwi na maada hii ni vyema uwe mstaarabu na siyo kutukana kwan kila mmoja anajua kutukana pia.
 
michango yenu waungwana. Mnakaribishwa.
 
Geography ina walimu wengi.

kaka swali linakuja katika masomo ya arts kwa nini geography ndiyo haifaulishi sana. Anyway hali ikoje kwa kiswahili na history?
 
unajua kaka geography ni somo la sayansi,japo kibongo bongo,wanlichukulia kama somo la sanaa,ktk geography kuna hesabu,kuna kanuni mbalimbali,ki2 ambacho ni nadra kukiona katika somo la historia na kiswahili,kama unavyojua ni kasumba ya wanafunzi wa tanzania kuyachukia masomo ya sayansi,hatimaye kushuka kwa kiwango cha ufaulu ktk somo hilo.
 
kwa hiyo kaka ile kasumba ya kuchukulia geog kama art na kuchukia masomo ya sayansi kunaifanya geog iwe na walimu wengi?
 
Utafiti unaonesha kiswahili ndio somo linaloongoza kwa ufaulu.
 
unajua kaka geography ni somo la sayansi,japo kibongo bongo,wanlichukulia kama somo la sanaa,ktk geography kuna hesabu,kuna kanuni mbalimbali,ki2 ambacho ni nadra kukiona katika somo la historia na kiswahili,kama unavyojua ni kasumba ya wanafunzi wa tanzania kuyachukia masomo ya sayansi,hatimaye kushuka kwa kiwango cha ufaulu ktk somo hilo.
Naunga mkono. Geography inatupatia Geologists(wataalamu wa miamba)miamba ipi inatoa gas,madini nk.Geography inatupatia Surveyors. Geography inatusaidia kujua vipindi vya hali ya hewa . Kwa nini sehemu fulani kuna baridi na sehemu nyingine kuna joto, geography ina tusaidia kujua kasi ya upepo wingi wa mvua wingi wa joto nk.
Geo inatusaidia kujua sayari ziko ngapi ipi kubwa, umbali wake nk. NASA ina wana Geography pia.
 
Back
Top Bottom