Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Mkuu huna kompyuta au? Tatizo ni nini? Kama kuna uliyoandika kwa mkono ipige picha watu wakupigie chapa chap chap. Au kama kuna walimu wa hesabu ambao wanazo tayari tayari bila shaka watakutumia. Good luck!Samahani walimu kama mmenielewa vibaya. Naelewa kuwa mpango kazi ni jukumu langu kuandaa, lakini kumbukeni kwamba objectives ni zile zile hivyo hata kama walimu tutatofautiana katika T/L Activities naweza kuedit na kupanga namna ninavyotaka mimi.
Kwahiyo hapa ukinisaidia hiyo skeleton yenye nyama kiasi, naweza kujazia na nikapata kitu ninachokitaka. Bila shaka mtu aliyewahi kuchapa anajua jinsi inavyochukua muda, ninasababu za kuichapa lasivyo ingekuwa ni kuandika kwa mkono ningekuwa nimeshamaliza. Naomba mnielewe na kunisaidia kwa hivyo. Asanteni.
compyuta ninayo, tatizo ni muda wa kuandaa soft copy maana nina speed ndogo ya kuchapa. sijaandaa hard copy maana nahitaji soft copy kwasasa. Umemaanisha kama ningekuwa na hard copy nimpe mtu anichapie? Asante kwa ushauri.Mkuu huna kompyuta au? Tatizo ni nini? Kama kuna uliyoandika kwa mkono ipige picha watu wakupigie chapa chap chap. Au kama kuna walimu wa hesabu ambao wanazo tayari tayari bila shaka watakutumia. Good luck!
nashukuru kwa mawazo yakoandaa Mwenyewe,
Sema hayo Malog book na Lesson Plan yanachosha
mkuu kama unazo njoo PM tuzungumze tafadhalitangaza hela ...bure kasafiri...natania
Natumaini wote mu wazima. Ninaomba kwa mwalimu aliyewahi kuandaa SCHEME OF WORK kwa kuchapa (typing) anisaidie. Kwasasa nahitaji za Olevel ( form 1,3 na 4 ). Naomba aliyetayari kunisaidia anijulishe nimpatie mawasiliano. Natanguliza shukrani zangu. Asante sana.
mkuu nimekuja kwa pmNitumie ntakusaidia. Usiogope