Hivi kati ya kwenda JKT kama njia ya kuingia jeshi, au kusubiri post za ualimu kipi bora kwa mtazamo wako? Maoni tafadhali.
Ktk ph.ilosophy of Education, tunamsoma Pilato, He categorised the IQ of individuals in relevance to their carrie ie GOLD...... SILVER...... and IRON....? Just a tip for you buddy
plato sio pilato mkuu
Jkt ni kwenda kupoteza tuu muda! Unaweza ukamaliza miaka yako miwili na usipate kazi, kumbuka umri unakwenda sasa
Achanteee Editor
Kule JKT kuna watu wana degree tena za fani nyingine la cha ajabu bado wanasugua bench kila ukija usaili ni out!!
wee nae na hilo link la kipuuzi nfyuuuujamiiforums.com