Walimu Vs Wabnge wa Bunge Maalumu la Katiba

Walimu Vs Wabnge wa Bunge Maalumu la Katiba

Mwaya J

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
238
Reaction score
82
Inasikitisha kusikia walimu wa ajira mpya wanaoripoti wilaya husika wameanza kunung'unika kwa kutotimiziwa yale wanayopaswa kupewa kama makazi na posho stahili.Lakini tunakumbuka ajira zao zilicheleweshwa kutokana na pesa kutumika ktk kandaa bunge la katiba,na hivyo matarajioya wengi ni kuwa baada ya tarehe kusogezwa mbele basi serikali ingekuwa imejiandaa vya kutosha ktk kuajiri walimu hao.Sasa hizo fununu za kuanza mizengwe zinatoka wapi! kama tatizo ni hela,wajumbe wa bunge la katiba tunasikia wakiomba siku ziongezwe ili kufanikisha zoezi lililowapeleka Dodoma,ambapo pesa zaidi zitahitajika kuwalipa. Je,pesa za wabunge zinatoka wapi ambako za walimu hazipatikani??

Nawasilisha malalamiko
:confused3:
 
Pesa wanazolipwawajumbe wa bunge la katiba(laki3 x70days)ni pensheni ya walimu walio wengi! Hii ndo serikali ckivu! Lol!
 
Pesa wanazolipwawajumbe wa bunge la katiba(laki3 x70days)ni pensheni ya walimu walio wengi! Hii ndo serikali ckivu! Lol!

hv wewe unajua maana ya penshen? hv hujui kwamba hyo ni hela ambayo mwl hukatwa kila mwez kwenye mishahara yao?
 
Back
Top Bottom