Nini kimechanganywa? Tz lowest ni 319,000/= take home umeona nchi gani hapo Ina hicho kiwango?Hapo unachanganya leta mishahara wa kuanzia (basic stating salary) ya mualimu wa shule ya msingi sekondari na vyuo hapo ndo utajua Tz bado tuko juu ya Kenya uganda na Rwanda
Mtoa mada yupo sahihi. Ulitembelea hizo nchi sawaAcheni propaganda mwalimu wa Rwanda,Burundi na Uganda hawezi kumzidi mwl wa Bongo nimetembelea hizo nchi zote najua acheni kupotosha
Kwa uelewa wako unafikiri mwalimu analipwa kutokana na anapofundisha eeehhh?yaani msingi analipwa kidogo zaidi ya sekondari?kama ndivyo unavyojua hivi basi rudi tena ktk makaratasi.....Hapo unachanganya leta mishahara wa kuanzia (basic stating salary) ya mualimu wa shule ya msingi sekondari na vyuo hapo ndo utajua Tz bado tuko juu ya Kenya uganda na Rwanda
Kumbe umetembea siyo umefundisha kima weweAcheni propaganda mwalimu wa Rwanda,Burundi na Uganda hawezi kumzidi mwl wa Bongo nimetembelea hizo nchi zote najua acheni kupotosha
Tanzania lowest 419,000/= tsh, highest 2,800,000/=..VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WALIMU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI, N.K, KWA TAKWIMU ZA MWAKA 2021.
A person working as a Teacher in Kenya typically earns around 116,000 KES per month. Salaries range from 53,300 KES (lowest) to 184,000 KES (highest).
Equivalent to;
1,068,132 TZS to 3,687,360 TZS
A person working in Teaching / Education in Uganda typically earns around 2,780,000 UGX per month. Salaries range from 1,330,000 UGX (lowest average) to 5,070,000 UGX (highest average, actual maximum salary is higher).
Equivalent to;
864,500 TZS to 3,295,500 TZS
A person working in Teaching / Education in Burundi typically earns around 1,250,000 BIF per month. Salaries range from 601,000 BIF (lowest average) to 2,290,000 BIF (highest average, actual maximum salary is higher).
Equivalent to;
691,150 TZS to 2,633,500 TZS
A person working in Teaching / Education in Rwanda typically earns around 734,000 RWF per month. Salaries range from 352,000 RWF (lowest average) to 1,340,000 RWF (highest average , actual maximum salary is higher).
Equivalent to;
802,560 TZS to 3,055,200 TZS
A person working as a Teacher in Nigeria typically earns around 250,000 NGN per month. Salaries range from 130,000 NGN (lowest) to 383,000 NGN (highest) .
Equivalent to;
728,000 TZS to 2,144,800 TZS
A person working as a Secondary School Teacher in Botswana typically earns around 9,230 BWP per month . Salaries range from 4,890 BWP (lowest) to 14,000 BWP (highest ).
Equivalent to;
934,576 TZS to 2,675,680 TZS
A person working in Teaching / Education in South Africa typically earns around 33,000 ZAR per month. Salaries range from 15,800 ZAR (lowest average) to 60,200 ZAR (highest average, actual maximum salary is higher).
Equivalent to;
2,285,628 TZS to 8,708,532 TZS
Mishahara ya Walimu Tanzania ipo chini kuliko nchi zote za Afrika Mashariki hadi tunazidiwa na Uganda wenye uchumi mbovu! Serikali iweke siasa pembeni iangalie maisha ya walimu.
Wa shule za msingi eehTanzania lowest 419,000/= tsh, highest 2,800,000/=..
Kwani shida iko wapi!? Kwani ulitakaje shekhe!?? Walimu haohao unaowaponda waweza kukut- mbea mkeTanzania lowest 419,000/= tsh, highest 2,800,000/=..
Acha kutulisha matango pori bhanaVIWANGO VYA MISHAHARA KWA WALIMU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI, N.K, KWA TAKWIMU ZA MWAKA 2021.