Mika Rhoda
Member
- Aug 25, 2013
- 9
- 11
Imekuwa ni kama kawaida shule nyingi za boarding vitanda kuwa na kunguni. Hawa vijana wakija likizo wanatuachia majumbani hawa wadudu.
Walimu angalieni namna mnavyowezakuwasaidia kuua hawa wadudu, Wakija wasije na nguo zao huku uraiani
HappyNewYear2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu angalieni namna mnavyowezakuwasaidia kuua hawa wadudu, Wakija wasije na nguo zao huku uraiani
HappyNewYear2020
Sent using Jamii Forums mobile app