Walimu Saccos Ilala ni mzigo kwa walimu

luteadam

Member
Aug 10, 2015
71
60
Ktk mazungumzo yangu na mwalimu X ambaye ni mstaaf wa august 2016, alikua akilalama yakua aliandika barua ya kujiondoa tangu oct 2016 kwa kuwa hana mshahara tangu hiyo august, na utaratibu hii saccos huwa wanakata chao kule kule hazina yaani ktk mshahara, sasa jibu alilopewa huyu teacher ni kwamba atapewa pesa yake august 2017, yaani tafsiri yake ni mwaka mzima, ikabidi nimuulize km hao saccos wanatoaga interest cause thamani ya pesa leo si thamani ya pesa hiyo kesho, akanijibu hapana ulichoweka ndicho unachopata.

My take: 1)mwalimu saccos ilala acheni urasaimu.

2) walimu msikubali hebu chukueni hatua kuanzia sasa juu ya kujiwekea utaratibu wa namna ya kupata pesa zenu pindi mnapojiondoa (for memberz only).

3) saccos ilala kwa kuwa kujiunga ni hiyari basi muwe mnawapa taratibu zote hawa walimu na c kusifia tu. Nina imani huyu km angejua huu utaratibu mapema cdhani km angejiunga coz cku hizi masaccos yamejaa tele.

4) saccos ilala acheni hizi chembe chembe za kitapeli sababu mnazungusha pesa ya mtu mwaka mzima halaf hammtizami.

5) saccos pigeni kazi acheni ujinga, mnakera.
 
jamani mwalim hana kosa hatakidogo,tatizo hatujui katiba yao ilielekeza nini kwa mwanachama atapo taka kujitoa.hatahivyo ninaimani kubwa sana kwamba anacho dai mwalim anakijua.ila nina wasiwasi na uongozi uliopo huenda ukawa hauna taaluma na misingi thabiti ya kuongoza SACCOS.saccos ni taasisi halali na ipo kisheria..tunatumia sheria ya mwaka 2013.kwamsaada zaidi 0655229028
 
hiyo saccos haina akaunti ya benki? Je akaunti yao haina pesa?

kama hazina wanashindwa kuwalipa saccos kwa wakati hilo nalo ni tatizo.
maana kila mwezi hazina wanakusanya michango na marejesho ya watumishi nchi nzima ambao wapo saccos
 
Back
Top Bottom