Ipo hivi leo ktk pitapita zangu, nikajikuta nimefika shule ya msingi gongo la mboto magorofani. Hii ni shule mpya kabisa, ndo imeanza mwaka huu.
Shule hii imepakana na shule ya msingi gongo la Mboto jeshini. Au tunaweza kuwa sahihi tukisema ni mtoto wa shule ya gongo la Mboto jeshini. Kwa maelezo zaidi shule hii ipo ktk mkoa wa Dar es salaam, wilaya ya ilala, kata ya gongo la Mboto, mtaa wa Markaz.
Nikawakuta wafanyabiashara wakiuza mahitaji mbalimbali kwa wanafunzi. Nikanunua embe la sh 100. Nikiwa nasubiria kumenyewa nikawasikia hawa wafanyabiashara wakilalamikia Kodi. Wanalipishwa sh 50,000 kwa mwezi. Kibanda wanajenga wenyewe wafanyabiashara. Siku wanazofanya biashara kwa mwezi ni 22 tu. Jmosi na jpili hawafiki kuuuza.
Nikawauliza kama wamewahi kukutana na mwalimu Mkuu kuongea naye kuhusu kodi kuwa kubwa? Wakasema wameambiwa anayeona hawezi aache.
Nikawauliza tena je, mnapewa risiti kwa malipo hayo? Jibu ni kuwa hawapewi.
Hivi haya makusanyo yanaingia ktk mfuko upi wa serikali? Je, nani anapanga bei ya kodi? Maana kuna tofaut kati ya shule na shule.
Nawasilisha kwenu waungwana