Walimu mmetengeneza chuki mbele ya jamii

Kumbe ni 70,000 kwa siku mbili?

What a shame aisee!

The whole country is poor,these people are really poor..I cant blame them kwakweli!

Hii country tunarudi kwenye poverty kwa mwendo wa hatari sana
Sio kweli kama kiasi ni hicho, semina 100,000 kwa siku mbili, (nauli 20000*2 na pesa ya semina 30000*2).malipo ya kazi kwa msimamizi msaidizi 195,000 na mkuu 235,000
 
Paragraph ya nne na ya tano umemaliza kila kitu na ikititokea mshenzi huyo au mtu yeyote akapangua hapo basi naomba mnitag
Huyo kenge sidhani kama anajielewa. Hapo alipo anajifanya shujaa akiwa nyuma ya keyboard na hata anapotype hataki asogelewe na mtu, wasije wakajua maudhui anayopost. Ila hadharani hana ushujaa wowote.
 
ningekua mimi ndiyo wewe nisinge kubali kufundishwa na hao walimu wa dv 4
Wale manesi ambao huwa unawapa tako lako wakuchome sindano unajua qualification zao wote? Ukiambiwa si utaacha kwenda hata huko hospital.

Unadhani kuna sector ipi ambako watu wenye div.4 hawapo? Labda Law. Kwingine kote wapo maana wanaingizwa kule kwa kujuana:si Afya,Elimu,Maliasili,TRA,BoT,kwenye majeshi yote,n.k.
 
Mkuu naona umeamua kuwatolea stress zako waliosimamia uchaguzi, sijaona logic ya haya unayolaumu. Kama unadhani wasimamizi walikosea, chukua hatua stahiki.

Wote mnaodhihaki walimu mmepata ulemavu wa akili na mnatapatapa na maisha na mmeshasahau hawa walimu ndio waliowaondolea ujinga.
 
Je ulitaka nani asimamie uchaguzi?.. Mimi nimesimamia uchaguzi mahali Fulani,,,nataka nikwambie Jambo moja beliave me or not!.. VIJANA WA TANZANIA NI WAPUMBAVU... Kituoni kwangu MJINI kati kabisa VIJANA walikua kama mita 100 hivi na pilika zao wengi nawafahamu kwa majina na nikiwacheck kwenye daftari la kupiga kura wapo ila hawakuthubutu kupiga kura,, Watu walipoisha kituoni kama sa 7 hivi ,,mmoja alipita karibu nikamuliza mbona hamji kupiga kura,,,akanijibu mambo mengi muda mchache,,manina zake halafu juzi ninemsikia analalamika CCM wameiba kura!... VIJANA HAMPIGI KURA MNABWABWAJA TU MITANDAONI ,,,,
 
Mnawaonea bure Walimu. Nyie mbona hamkutoka kuandamana. Mlivyoona tu wanajeshi wanafanya usafu pu mb u zote zikazama tumboni. Mlitaka walimu wajitoe sadaka nyie mko nyuma ya keyboard
 
naungana na wewe nina ndugu yangu yupo kwenye mamlaka moja kubwa ya bima hapa nchini ana kawadhifa kakubwa tu anakula sio chini ya m2 per month lakini matokeo yake 4m4 ana vi D vi 3 kaunga unga elimu saivi hajambo, kwahiyo haya mambo sijui ya matokeo sidhani kama yana tija sana. Kikubwa utimamu na ufahamu mkubwa wa kazi unayo ifanya.
 
Kama ni yule mdada wa nhif pale dodoma nami namfahamu na div 0 yake form 4 ila leo no big boss mshahara mkubwa
 
Unajua tatizo kada ya ualimu inachukiwa tu ndio maana inapakaziwa. Lakini hakuna kada ambayo haijawahi kuajiri Div 4 hasa kwa ngazi ya cheti. Hata afya ndiyo watu muhimu lakini kwa ngazi ya cheti ufaulu ni huo huo na kwingine kote
 
Na vipi vyama vya siasa vilivyo susia uchaguzi wa serikali za mitaa lakini vikakubali uchaguzi mkuu, havikujidhalilisha?
 
Kama ni yule mdada wa nhif pale dodoma nami namfahamu na div 0 yake form 4 ila leo no big boss mshahara mkubwa
ukisema ukague vyeti vya wafanyakazi wa hiyo taasisi uliyo itaja unaweza ukastaajabu sana matokeo yao mmmhmmm acha nikae kimya, sema tu ndiyo hivyo kila mtu na ridhki yake
 
nawe ni mjinga tu. yaani watu wafanye vitu vya ajabu wanyamaziwe kisa ni ndugu zako
 
Hebu acha kututafitia sababu buana ulitaka tuje kula kwako?
 
Mtoa mada unaiingiza Chadema kwenye bifu na waalimu sio busara kabisa,labda ndio lengo lako,lakini ushindwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…