Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,581 Aug 20, 2025 #1 Wakuu, naomba kuuliza swali lipo hapo juu. Walimu mmeshaanza likizo au bado mpo shule mnafundisha? Naomba kujibiwa na Walimu wote waliopo humu JF. Km mpo likizo semeni kuna jambo jingine nataka kuwauliza.
Wakuu, naomba kuuliza swali lipo hapo juu. Walimu mmeshaanza likizo au bado mpo shule mnafundisha? Naomba kujibiwa na Walimu wote waliopo humu JF. Km mpo likizo semeni kuna jambo jingine nataka kuwauliza.