Hapana mkuu zipo video nyingi Sana siku hiziMkuu kama ni ile video mtoto ana hesabu huku machozi yana mtoka,hakika ule ni udhalilishaji wa hali ya juu.Nakuombea hata wewe iendelee kukugomea maana utakuwa umeshiriki kumdhalilisha mtoto na wazazi wake pia
Wakiambiwa inaonekana wanaonewaWaalimu ni janga la uadilifu wa watoto nchini, yaani waalimu wengi ni vilaza na malimbukeni...samahani kwa hiyo kauli. Unajua huu mchezo wa kuchukua maksi za chini ndio wasomee ualimu...haiko sawa. Yaani kwenye Whatsap Nina waalimu ambao wanapost vipicha vya watoto yaani anafundisha anamuita Mtoto mmoja anaklmuelekeza ampige picha akiwa anafundisha...au anamuita mwalimu mwenzie ampige picha...au ampige picha akiwa anawachapa watoto...yaani waalimu ni shidaaaa!!!.. Sijui lakini huko tuendako....ila kwasasa waalimu ni vilaza
Sasa huoni kwa kuendelea kujadili unazidi kuwazalilisha!Mkuu nimesema Nimeshindwa ku upload kwasababu mbali mbali ikiwemo kushiriki kuwadhalilisha hao watoto
Maadili gani haya umefunzwa na wazazi wako ya kutukana watu?,au wewe ni mtoto uliyekulia mitaani??!!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]walimu wa siku hizi wapumbavu pumbavu tu hasa wa sekondari.
wavaa milegezo na modo.
wanachoweza ni kupambana na wanafunzi kwa viboko na kugombania mademu.