tangazoo gazetini limetoka. ni maumivu kwa walimu aiaeee
hahahaha! kucheka ruksa
Kwan wakitumia GPA au division tofauti yake ni nini.....fuatilia kwanza ndo ucommentArudishe mfumo wa zamani basi. Alafu mfumo wa GPA kwa form IV na VI aufute tafdhari. BRN za kikwete kwenye elimu zimefeli kabisa. Apangue madudu ya kikwete yote. Mdogo mdogo tutafika tu!!!
Watazoea taratibu. Ninachoofikiria. Serikali fungu inalopeleka kwenye kila shule lisicheleweshwe tu. kama tunavyojua oc zinamiaka baadhi ya maeneo hazijaja....kwa hiyo hali inaweza kuwa mbaya kwenye mambo kadhaa. Serikali wajipange tu
Kama sijasahau, JK ndo alipiga marufuku hizi habari za tuition kwa wanafunzi mwaka 2006. Ila naona walimu waliendelea na kutoa tuition tuu kama kawaida.
Kama ndivyo hivyo basi kunatatizo haswa katika usimamiaji wa maelekezo ya watendaji wakuu. Katika nchi yetu sidhani kama kunasheria ya Mwalimu kufundisha tuition achilia mbali remedial classes.
Tumepiga marufuku tena tuition, hapo sina shaka na ni hatua nzuri. Bado hii michango mingine kama speed test, chakula, mlinzi na nk, Je serikali inakuja kufidia hivyo na wanafunzi wataendelea kupewa chakula wakiwa shuleni kwa shule zote nchini!?
Mungu ibariki Tanzania, Mungu Mbariki Rais wetu aweze kufanya mambo kwa weledi na hekima zaidi kwa manufaa ya Watanzania wote
Hakuna lolote! kama tution ilikuwa inasaidia mbona kila cku elimu inazid kushuka? tution haisaidii chochote, zaman watu hatujasoma iyo tution na elimu ilikuwa juu kuliko hv sasa