singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hamna kazi ngumu kwa ualimu najua umelopoka tu labda kwa sababu ujawah fanya hii kazi!!Siku zote wavivu hujificha kwenye koti la maslahi binafsi.
Kwanini msianze mkafanya kazi nzuri kisha ndo mkaleta hayo malalamiko ya maslahi duni.
Hivi unaazaje kumpandishia mshahara mtu ambaye kazi yake haina tija?
Kwa hizi akili zenu naamini hata mkilipwa milion bado wanafinzi watafeli tu.
Mnatamani kwenda mbinguni bila kufa.
Hivi hawa walimu wamekuwa ni kizazi cha kutishiwa kila siku!? Toka Rais Magufuli aingie madarakani sijamsikia hata kiongozi mmoja akizungumzia MASLAHI ya walimu zaidi ya kuzungumzia uwajibikaji wao pekee. Hivi hawa watu (watawala) bado wanaamini kwamba elimu duni inatokana na UZEMBE wa walimu? Kama jibu ni 'ndiyo', basi watakuwa wanakosea sana. SULUHISHO ni hili: Ili mtoto wa darasa la pili ajue kusoma, kuandika na kuhesabu ni LAZIMA serikali ihakikishe inawatekelezea walimu mambo yafuatayo; kuboresha mishahara yao, kulipa stahiki zao (pesa za uhamisho, kujikimu kwa wanaoanza kazi, pesa za matibabu na pesa kwa ajili ya kujiendeleza) kwa wakati, wapatiwe makazi bora ya kuishi, walipwe posho ya kufundisha (teaching allowance) pamoja na kupandishwa cheo/madaraja kwa wakati. Kama serikali haitatekeleza haya niliyoyaorodhesha, watanzania msitegemee lolote zuri kwenye sekta ya elimu.
Hamna kazi ngumu ka ualimu najua umelopoka tu labda kwa sababu ujawah fanya hii kazi!!Siku zote wavivu hujificha kwenye koti la maslahi binafsi.
Kwanini msianze mkafanya kazi nzuri kisha ndo mkaleta hayo malalamiko ya maslahi duni.
Hivi unaazaje kumpandishia mshahara mtu ambaye kazi yake haina tija?
Kwa hizi akili zenu naamini hata mkilipwa milion bado wanafinzi watafeli tu.
Mnatamani kwenda mbinguni bila kufa.
hakuna kazi ngumu kama ya ualimu? duh sijui unamaanisha kwa hili neno "kazi" mkuu..na kama mazingira ni magumu sana gomeni kufundisha kabisa hata mwaka mzima serikali iwaboreshee maslahi kuliko kutufanyia kazi ambayo ni sub-standard na kutupa visingizioHamna kazi ngumu kwa ualimu najua umelopoka tu labda kwa sababu ujawah fanya hii kazi!!
Walimu wanadai madai yao ya miaka nenda rudi,hivi unafikiri huyu mtu atafanya kazi kwa moyo mweupe...kwanini wewe unazungumzia kazi kwanza then maslahi bora badae.Kwenye kampuni zilizofanikiwa sana,mtu unapoajiriwa unakuta maslahi ni mazuri sana na mazingira ya kazi pia ni mazuri ili utende kazi vizuri bila visingizio vingi vya maisha na maslahi duni.Siku zote wavivu hujificha kwenye koti la maslahi binafsi.
Kwanini msianze mkafanya kazi nzuri kisha ndo mkaleta hayo malalamiko ya maslahi duni.
Hivi unaazaje kumpandishia mshahara mtu ambaye kazi yake haina tija?
Kwa hizi akili zenu naamini hata mkilipwa milion bado wanafinzi watafeli tu.
Mnatamani kwenda mbinguni bila kufa.
Ngoja niisome hiyo taarifa kwanza before I give out my conclusion, ila kama ni kweli basi serikali will be hitting the wrong target. Kufanya vibaya kwanza hakuchangiwi na incompetence ya waalimu peke yake,kunachangiwa na mambo mengine kama vile maslahi duni,mazingira magumu ya kazi ambayo yanawavunja nguvu waalimu.Pia kuna swala la umbali kwa wanafunzi ambao hufika darasani wakiwa wamechoka na hivyo kupunguza concentration darasani,Na kuna swala la matatizo ya kijamii yanayowakabili wanafunzi kama vile hali ngumu ya maisha na matatizo ya kifamilia,hivi vyote vinaweza kuathiri maendeleo ya kielimu ya wanafunzi.[/QUOTE]Nona E="Mdudu halisi, post: 14997272, member: 225200"]Hivi hawa walimu wamekuwa ni kizazi cha kutishiwa kila siku!? Toka Rais Magufuli aingie madarakani sijamsikia hata kiongozi mmoja akizungumzia MASLAHI ya walimu zaidi ya kuzungumzia uwajibikaji wao pekee. Hivi hawa watu (watawala) bado wanaamini kwamba elimu duni inatokana na UZEMBE wa walimu? Kama jibu ni 'ndiyo', basi watakuwa wanakosea sana. SULUHISHO ni hili: Ili mtoto wa darasa la pili ajue kusoma, kuandika na kuhesabu ni LAZIMA serikali ihakikishe inawatekelezea walimu mambo yafuatayo; kuboresha mishahara yao, kulipa stahiki zao (pesa za uhamisho, kujikimu kwa wanaoanza kazi, pesa za matibabu na pesa kwa ajili ya kujiendeleza) kwa wakati, wapatiwe makazi bora ya kuishi, walipwe posho ya kufundisha (teaching allowance) pamoja na kupandishwa cheo/madaraja kwa wakati. Kama serikali haitatekeleza haya niliyoyaorodhesha, watanzania msitegemee lolote zuri kwenye sekta ya elimu.
Siku zote wavivu hujificha kwenye koti la maslahi binafsi.
Kwanini msianze mkafanya kazi nzuri kisha ndo mkaleta hayo malalamiko ya maslahi duni.
Hivi unaazaje kumpandishia mshahara mtu ambaye kazi yake haina tija?
Kwa hizi akili zenu naamini hata mkilipwa milion bado wanafinzi watafeli tu.
Mnatamani kwenda mbinguni bila kufa.