Habari za mchana,
Huku nikitumaini sote tunatambua umuhimu wa Kundi hili,
Binafsi sioni Mantiki ya hiki Chama, or may be someone educate me,
Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya baadhi wanasiasa kudharirisha walimu, (Dumb politicians),
Tangu awamu ya nne hadi sasa,
Lakini nsimamo wa Chama hiki kutetea haki na maslahi ya Walimu haueleweki,
Jitoeni mjiunge vyama vingine, ni haki yenu kisheria.
Nawasilisha.