Walimu huu ni muda mwafaka, mkiuchezea Msirudie kulia lia

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,133
Reaction score
2,128
Hasira za manyanyaso za kutopandishwa madaraja kwa wakati, kutopewa gharama za likizo na vitisho vya mara kwa mara zihamishiwe kwenye sanduku la kura.

wale wa sekondari wahamasisheni wanafunzi wenu kwa nguvu zote ili serikali ijue ijifunze adabu. kumnyanyasa mwalimu ni sawa na kuliharibu taifa.

Hii itumike kama adhabu kwa watawala kujifanya vichwa maji. naomba niwawekee mchanganuo japo kidogo

1. Askari jeshi (JW) ambaye ni form mwenye cheo cha Kopro, take home ya mshahara ukimwongezea na allowances kwa mwezi si chini 1,200,000.

2. Mwenye nyota 1, take home +allowances si chini ya 2,500,000/ akiwa na degree au diploma inapanda mpaka 3,000,000/

ifikie hatua tuseme inatosha na bye bye JK na ccm yako. wakapumzike kwanza wakirudi angalau watakuwa wamejirekebisha.
 
aahaaaahaaa umenikumbusha nlimsomesha mdogo wangu ni koplo cjui vitu gani dogo anapiga helaaaa hata ukimgongea buku 5 mshahara wangu ukikata ananipa kwa masimango aiseeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom