Walimu, hivi CWT wataendelea kuwaibia mpaka lini?

Aisee!! Inahuzunisha!! 😟😟Haya yote yanaletwa na CCM! Maana sehemu ya hela za kampeni zao huchota huko.
Hii nchi watu watapata nafuu siku wakiikataa ccm,maana mipango ovu yote ya unyonyaji ccm ndio mkurugenzi
 
Kuna watu walijitoa CWT wakaingia CHAKAMWATA. CWT ikaenda mahakamani wakarudishwa wote waliojitoa
Hao CHAKAMWATA nao wapigaji hivi ugovi wao viongozi ulishia wapi maana tulisikia wanagombania pesa zilizopo bank
 
Kwa mtindo huu wakuambiwa wafunge mikanda ili T shirt zinunuliwe naanza kuwa na doubt CWT michango yao uko hazina hawapewi sema kulalamika wanaogopa

Yani pengine mwalimu anakatwa ila hazina haiwapi CWT gawio lao, pesa inaenda kujenga reli ya umeme nk. kwaiyo kuna haja CWT wakawa wanatagaza kwa wana chama kila mwezi gawio wanalopata, na matumizi yake kwa uwazi
 
Tanzania ni nchi ya wanyonge na walimu ni wanyonge zaidi, hakuna jambo baya kama kumtetea mtanzania mnyonge kwani anaweza akakukana akipewa kepu (kofia ya kijani).
 
... Ok. Sijaona financial statements zao.
Hauhitaji kuziona, siku zote CWT hujifanya ni tawi la CCM ili wapate kinga.
Hakuna waajiriwa mbumbumbu nchini kama walimu, na ndio wanaoongoza kwa kuporwa mishahara na mafao ya ustaafu, subiri Mei Mosi utawaona wanavyotumiwa kijinga.
 
Walimu ni watumishi wa ajabu sana. Hawana akili kabisa. Zamani mwanaume alieoa mwanamke mwalimu alikua anaonekana amefanya chaguo jema na zuri. Lakini saivi ni kama umeoa ombaomba mtu asiejitambua
 
Tatizo watu kila wakijitoa wanarudishwa hakuna mwalimu anaetaka akatwe 2% kila mwezi
Wakirudishwa bila kuridhia si wakamshtaki mwajiri kwa kukata mshahara wao bila ridhaa. Walimu wanakiendekeza sana hiki chama, wanajiumiza wenyewe
 
Wakirudishwa bila kuridhia si wakamshtaki mwajiri kwa kukata mshahara wao bila ridhaa. Walimu wanakiendekeza sana hiki chama, wanajiumiza wenyewe
Wao wenyewe wameridhia kukatwa mishahara yao huku wakijua chama chao hakiwasaidii kwa lolote lile.
 
Hela ya makato ya CWT inauma sana hasa pale unapoiangalia salary slip yako vijizi sana hivi vijamaa af vimejipendelea rav4 kila wilaya kifupi tunaomba Mh Raisi atoe ruksa kuwe na vyama mbalimbali vya walimu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…