REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,252
- 11,482
Huyo CWT ni Mtoto kipenzi wa CCM! Hata upambane nae vipi! Huwezi kumshinda. Na kiukweli ni mtoto mwizi aliyepitiliza!..
Na ndiyo maana nimewahusisha moja kwa moja na CCM. Hutokuja uone hiyo CWT ikiongozwa na Mwalimu mwenye mlengo wa kutaka Mabadiliko ndani ya hicho chama.Kuna watu walijitoa CWT wakaingia CHAKAMWATA. CWT ikaenda mahakamani wakarudishwa wote waliojitoa
Mh. Rais kwenye uchaguzi wa CWT mwaka jana alisema waangalie namna ya kupunguza makato ya 2% lakini hadi leo kimya hawajatekeleza chochote. Hii inaashiria kuwa CWT inapinga hata agizo la mkuu wa nchi. Hiki kiburi wanakitoa wapi?
Aisee!! Inahuzunisha!! ππHaya yote yanaletwa na CCM! Maana sehemu ya hela za kampeni zao huchota huko.Mm huwa najiuliza tu kwanini iwe lazima kuingizwa kwenye chama ambacho sijawahi ona faida yake yoyote ile ,chama kimeshindwa kuwa na mabank kila wilaya ili angalau Walimu wakope huko ,ajabu bank ya Walimu ipo dar na wanaokopa hapo sio Walimu Ni wafanyabiashara peke yao...
Hao ni Waarabu wa Pemba. Wizi na Uonevu wote unao fanyika huko dhidi ya Walimu Rais na Wasaidizi wake, wana ufahamu! Ila wameamua kufumba macho na kuziba masikio! Si na wenyewe wanafaidika kupitia hela wanazopewa na hao CWT kwa ajili ya kampeni!!Mh. Rais kwenye uchaguzi wa CWT mwaka jana alisema waangalie namna ya kupunguza makato ya 2% lakini hadi leo kimya hawajatekeleza chochote. Hii inaashiria kuwa CWT inapinga hata agizo la mkuu wa nchi. Hiki kiburi wanakitoa wapi?
Hao ni Waarabu wa Pemba. Wizi na Uonevu wote unao fanyika huko dhidi ya Walimu Rais na Wasaidizi wake, wana ufahamu! Ila wameamua kufumba macho na kuziba masikio! Si na wenyewe wanafaidika kupitia hela wanazopewa na hao CWT kwa ajili ya kampeni!!
Kama kuna mtu ana kudhulumu na kukuumiza na huna nguvu za kumdhibiti, at least NUNA. Ili hata dhulumati mwenyewe ajue umechukia.Huyo CWT ni Mtoto kipenzi wa CCM! Hata upambane nae vipi! Huwezi kumshinda. Na kiukweli ni mtoto mwizi aliyepitiliza!..
Yote heri sisi huku bwana TALGWU anatuhenyesha hata umuhimu wake sioni zaidi ya tshirts ...Michango mnayochanga kila mwezi inafanya kazi gani, leo mnambiwa mfunge mikanda miezi miwili gawio lenu la kila mwezi linaenda nunua T shirt za Mei mosi 2021.
Huu si uhuni huu, fedha inazokusanya kila mwezi inafanya shughuli gani na kwanini haya mambo muambiwe mwaka huu tu miaka mingine pesa za T shirt walitoa wapi?
View attachment 1719370
MCB inaonekana ni changa la macho kwa Walimu....walionunua hisa ndiyo wameingia kwenye kambi ya jeshi bila idhini.... hivi ile benki yao imeshaanza ku-operate au bado?
Huwa sielewi; inakuwaje nchi inaingia kwenye uchumi wa kati hali ya maisha inakuwa ngumu kuliko ilivyokuwa poor? Wachumi hebu tusaidieni.MCB inaonekana ni changa la macho kwa Walimu....walionunu hisa ndiyo wameingia kwenye kambi ya jeshi bila idhini.
Back to point ......zile hisa 100 za kila Mwalimu sijui zimefikia wapi?...πππππππππ
CWT..
Watu walifuata utaratibu wakajitoa na bado wakarudishwaKulalamika hakusaidii kama kuchukua hatua zinazostahili.....tusome Sheria ya Ajira a mahusiano Kazini inaelekeza nini tutumie utaratibu wa kisheria kulalamika bila hivyo CWT itaendelea kuwa top.
Benki imeanza kazi muda mrefu, kwa Dar makao makuu opposite na mlimani city pia kuna tawi posta... hivi ile benki yao imeshaanza ku-operate au bado?
Mahakama ilitoa hukumu gani ? Na hao watu si waende mahakamani kupinga kurudi cwt maana uanachama ni hiariKuna watu walijitoa CWT wakaingia CHAKAMWATA. CWT ikaenda mahakamani wakarudishwa wote waliojitoa