Unajifanya huna kichwa endeleeni kutudharau walimu mtaona tu kama siyo leo kesho Mungu atujalie uzima.Hakika wewe ni pwagu sana. Kumbuka miongonimwa watumishi wa serikali ambao hawapaswi kuwadhamini watuhumiwa ili wasiathiri kazi zao ni pamoja na walimu. Hii iliwekwa kwa makusudi kwa lengo la kuwalinda walimu na kuwafanya watumie muda mwingi kufundisha bafsla ya kuhangaika na kesi
Hakika wewe ni pwagu sana. Kumbuka miongonimwa watumishi wa serikali ambao hawapaswi kuwadhamini watuhumiwa ili wasiathiri kazi zao ni pamoja na walimu. Hii iliwekwa kwa makusudi kwa lengo la kuwalinda walimu na kuwafanya watumie muda mwingi kufundisha bafsla ya kuhangaika na kesi
Pitia kwanza vifungu vya sheria ili ujue sababu iliyojengwa ndiyo uje kusema wamezingatia vitu vingi,sababu moja wapo mtuhumiwa katika kupata wadhamini haitakiwi awapate kirahisi kwakuwa ni mtuhumiwa inakuwa ni sehemu ya adhabu,
sabula na mwenzake tayari wamepatikana na hatia kwahiyo tayari mahakama imewatia hatiana kwahiyo masharti ya dhamana lazima yawe magumu kidogo ili iwe ni sehemu ya fundisho,
Inafahamika walimu wanapatikana kwa wingi maeneo yote hivyo kwa gaidi kama sabula na wenzake haitakuwa shida kuwapata,
ukisoma zaidi sheria itakupa majibu mengi mazuri ila shida yenu bawacha hata kusoma shida.
Acha ukengenwewe, sheria gani na kifungu kipi, vitaje hapa sio unaongea kama upo sokoni unatangaza bei ya nyanya zilizooza.mahakama ingekuwa imewatia hatiani kama ulivvyosema wangekuwa waneshahukumuwa tayari, usiongee vitu kama hujui. Unajua maana ya kutiwa hatiani na mahakama.Pitia kwanza vifungu vya sheria ili ujue sababu iliyojengwa ndiyo uje kusema wamezingatia vitu vingi,sababu moja wapo mtuhumiwa katika kupata wadhamini haitakiwi awapate kirahisi kwakuwa ni mtuhumiwa inakuwa ni sehemu ya adhabu,
sabula na mwenzake tayari wamepatikana na hatia kwahiyo tayari mahakama imewatia hatiana kwahiyo masharti ya dhamana lazima yawe magumu kidogo ili iwe ni sehemu ya fundisho,
Inafahamika walimu wanapatikana kwa wingi maeneo yote hivyo kwa gaidi kama sabula na wenzake haitakuwa shida kuwapata,
ukisoma zaidi sheria itakupa majibu mengi mazuri ila shida yenu bawacha hata kusoma shida.
Hakika wewe ni pwagu sana. Kumbuka miongonimwa watumishi wa serikali ambao hawapaswi kuwadhamini watuhumiwa ili wasiathiri kazi zao ni pamoja na walimu. Hii iliwekwa kwa makusudi kwa lengo la kuwalinda walimu na kuwafanya watumie muda mwingi kufundisha bafsla ya kuhangaika na kesi
ni dharau hii. yaani walimu tu ndiyo kada ya watu wanatakiwa kufungiwa kwenye kazi zao na wengine kama madaktari, wanajeshi, marubani, maenjinia wanaweza kudhamini kwa sababu kazi zao siyo mhimu sana kama waalimu. mtawadharau mpaka lini hao walimu?Hakika wewe ni pwagu sana. Kumbuka miongonimwa watumishi wa serikali ambao hawapaswi kuwadhamini watuhumiwa ili wasiathiri kazi zao ni pamoja na walimu. Hii iliwekwa kwa makusudi kwa lengo la kuwalinda walimu na kuwafanya watumie muda mwingi kufundisha bafsla ya kuhangaika na kesi
Tatizo walimu wana mikopo sana na wanaacha kazi ovyo ovyo