Walimu hatuna thamani

Ila walimu mnajua kulalamika watani zangu, lakin sawa maana mnajipigania
 
Wala msitoe povuuu,wanajua nini wanachofanyaa,wanatafuta ufalme wa Mungu
 
yaan kwa commet hizi nilizozisoma... kama kuna mwalimu atakuja kulalamika tena basi huyo atakuwa anahitaji matusi... tushachoka na malalamiko ya mdomo.. fanyeni kweli kama mmechoka..!
 
Checking...100%
Searching...100%
Downloading...100%

Network connected !
Near by Uporoto Mbeya.
 
Hivi angekuja kulaumu mwanajeshi ungemwambia habari za viboko??? Embu muwache dharau kwa walimu.


Hafu na nyie walimu muamke muache ujinga sasa, felisheni ili heshima yenu ije.
Tz unaongozwa na walimu lkn wamewsahau walimu wenzao huku chini
 
Hiyo ni kwa wote kiufupi ni kuwa watumishi wa umma awamu hii hawathaminiki
 
Yaani hii kada kila siku kulalamika wao tu, kuna wafanyakazi wenzenu wao kila siku ni kusaga soli vijijini tena katika mazingira magumu, mfano kuna Afisa kilimo, ustawi wa jamii kuna manesi pia, wako na watendaji wa vijiji na kata tena wao ni kama jalala maana kila kitu kinawaangukia wengine hadi mmewazidi mishahara mbona hawalalamiki? Kuhusu muda hakuna watu wanapata good time kama waalimu. Mfano kwa mwaka wana likizo mara nne nusu mwezi kwa mwezi wa April na September na likizo mwezi kwa miezi ya June na December kipindi hiki wanafunzi wapo likizo alafu unabaki kulalamika muda hautoshi embu jaribu kujipanga mkuu
 
Walimu acheni kulalamika.
Kwanza walimu wametosha mashuleni.
Tuna mpango wa kupunguza so stay tune.
Nenda bank chukua mkopo to tha maximum hata ukitolewa uwe umewatia hasara
 
Nimewashauri nanyie mwende kule twiter muanzishe hashtg kama ya kumtafuta roma "mshahara wetu ukowapi" muweke napicha kabisa ya maisha magumu ya mwalimu mkumbukwe!!!
 
tumekusikia ombi lako nini sasa mwalimu wetu🙄
 
Bhahahahaaa, nimeamua kuacha hiki kibarua (sio kazi) sasahivi nakula good time kwenye mishe mishe zangu mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…