Walimu hatuna thamani

We na bashite Hanna tofauti.hivi utendaji unasomewa chuo gani???
 
Waalimu mkuu hatishiwi nyau changeni karata zenu kwa 2020vinginevyo kaukeni tu maana nyie ndiyo mmetufikisha hapa
 
nazingua tu mkuu. dunia ya leo kila mtu anaangalia maisha yake kwanza. kwasasa hakuna uzalendo wa kuchomeakea kama walimu wa zamani huku huna hela mfukuno, yaani ni full madeni kwa Mangi. walimu wa zamani walivishwa kiremba cha ukoka kua walikua wanaheshika ktk jamii. cha ajabu baada ya kustaafu, sasa ni malofa wa kutupwa na ile heshima yao kishwa habari yake.
 
Dhamani au thamani?
Halafu unadai uongezwe hela wkt utakuwa unafundisha watoto kusema DHAMANI ? Mh
Iyo typng er tu hata wewe unaweza kukosea cm zenyewe toch unamlaumu tokea uwanze kutumia cm hujawai kukosea kuandika msg au kujishauwa tu
 
Iyo typng er tu hata wewe unaweza kukosea cm zenyewe toch unamlaumu tokea uwanze kutumia cm hujawai kukosea kuandika msg au kujishauwa tu

We unaetetea mwenyewe uko ICU unahitaji darasa la kuandika kiswahili.
Aliekosolewa kanyamaza na kurekebisha wee mwenzetu na ""Iyo typng er"" "uwanze" "cm" "kujishauwa"""
Geuza rudi ulikotokea ujifunze kuandika kwanza ndo uje tuongee
 
We unaetetea mwenyewe uko ICU unahitaji darasa la kuandika kiswahili.
Aliekosolewa kanyamaza na kurekebisha wee mwenzetu na ""Iyo typng er"" "uwanze" "cm" "kujishauwa"""
Geuza rudi ulikotokea ujifunze kuandika kwanza ndo uje tuongee
Pimbi tu wewe
 
Kazi ni mbaya ukiwa nayo.....! Kazi malipo kuzidi madeni ni mwiko..%
 
CWT iko wapi mpaka unakuja kulalamika hapa wakati kuna chama kinakula michango yenu kila mwezi? Jitambueni
 
Fanya kazi kulingana na unavyolipwa. Tumia muda hata wa shule kuwaza mipango yako ya kutafuta pesa ya ziada, badala ya kuwaza sijui ile concept haikueleweka vizuri hivyo nitafute muda wa nikaiweke sawa. Pia wakikunyanyasa, basi wewe apunguza utendaji.
Tengeneza maisha yako sasa. Ukiwa fala utazeeka huna kitu, uwe kama hawa wazee wanaoteswa na serikali kwa kutolipwa pensheni zao. Maisha yao baada ya kusataafu ni ya hovyo sana.
Kama ni serikali, mzazi, au mwanafunzi; atayeona anaumizwa na uamuzi huo wa mwalimu kua bize ktk kutengeneza maisha yake badala ya kufundisha, apaze sauti ili swala hili liangaliwe upwa kwa masalahi mapana ya mtaalamu (mwalimu) na taifa kwa ujumla.
 
Elimu Ya msingi bure rudi Kasome mwandiko na spelling dada. Usione haya elimu haina mwisho.
Unaijua elimu yangu wewe au sehemu ya kutolea hajakubwa inakuwasha? Mnajifanya kuwatoa watu kasoro kumbe vyeti mnavyotumia vya watu mbumbavu zenu
 

Sina maana ya kutoa vijembe, ni kweli kabisa uliyoyasema, lakini uandishi wako mwalimu unatia kichefuchefu
 
Unaijua elimu yangu wewe au sehemu ya kutolea hajakubwa inakuwasha? Mnajifanya kuwatoa watu kasoro kumbe vyeti mnavyotumia vya watu mbumbavu zenu

Utakuwa una zero ya Darasa ya saba! Ungekuwa na elimu ungejua kuandika maneno rahisi sana uliyokosea!!
na sio ""mbumbavu""
Again.. rudi primary elimu bure kasome mwandiko na spelling ya Maneno ya Kiswahili. Hapo ni kiswahili je ukiambiwa ongea kingereza shosti si tutakuzika ghafla???
Niliyemkosoa hajakasirika wewe ni nani hasa kuleta pua ndefu yenye kamasi hapa??? Na unavyoendelea kuandika nitakukosoa sentensi mpaka uandike iliyonyooka, now bring it on mjinga we!
 
Kimsingi kitu cha kuanza kueleweka katika uandishi ni TITLE kwenye content huwa tunaenda kupata wide info sasa kama TITLE ina mistake how can you convice me nitaelewa content!!??
Title imekosewa wapi?Mbona unataka kumuongezea stress mwlimu wetu wa Uraia?
 
ila hii nchi asaivi imekuwa ya ajabu sana... sio viongozi sio wananchi.. wote sifuri tu...!!!!
tutaanza sasa kufatilia hadi malalamiko hewa.. ha!!! ha!!! ha!!! ha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…