Walimu hatuna thamani

hao uanaosema wanamshahara sawa na walimu, wao wana posho za katikati ya mwezi, posho za vikao na marupurupu mengine yanayowafanya wawe tofauti na walimu.
walimu kuacha kazi sio suluhu ya tatizo.
 
Walimu mnathamani wakati wa uchaguzi,mnabembelezwa muichague kijani mkichagua mnatelekezwa
 
Jamani walimu tujiongeze sina ushauri mwingine
 
Sio siri mi ningekuwa serikali ningepunguza mishahara kwa walimu haiwezekani shule ipo mjini kila kitu kipo alafu matokeo ya necta wanatoka wanafunzi kum Kati ya mia mbili alafu mda wenu wa kazi ni kidogo Sana almost masaa sita hadi Saba kwa siku
Elimu inatizamwa kwa vitu vingi ,shule kuwa mjin sio kigezo cha mwanafunzi kufahuru ,nadhan ndio maana hujawa serikali maana hujui hata serikali nini! Na kwa analysis zako hapo , hufai hata kuwa sehemu ya serikali maana utakuwa na mawazo ya hovyo
 
Walimu acheni kulalamika sana, mbona Kule afya kuna madai kibao lakini hawalalamiki?
 
Wewe endelea kutumia muda wa ziada kuwaandalia virutubisho wanafunzi badala ya kupigania maisha yako kuongeza kipato cha ziada!!teeh..teeh yani walimu bhana hivi unaijali vipi serikali ile hali wewe inakupuuza miaka 50+ ya uhuru,,?Nikumnukuu mdau hapo juu 'dawa ni kufelisha kuvunja rekodi,serikali ni kuongea nayo kwa vitendo sio maneno'' maana kwa maneno bwana yule haaimbiliki na jana Lindi kadai kua sirikali yake sio ya kutishwatishwa na sidablyutii'
 
Wewe mwalimu kweli? Kwa mwandiko huu?

Poleni kwa yote! Ndo nchi yetu hii.
 
!
!
Jifunze kuandika vizuri mwalimu. Maksi tunatafuta darasani, mtaani tunatafuta pesa. Endelea kuisoma namba na wito wako. Kwanza tuna mpango wa kurudisha sare kwa waalimu pia ili mfaidike kwenye daladala teh teh teh.
Sare co mbaya n kawaida tuuu....mbn police wana sare. Manes pia....wanajeshi pia sasa cion ajabu....
 
mwalimu em fanyeni kufelisha madogo.. yaan hakikisheni watakaofeli mwakani wanavunja record ya mwaka huu... yaan mnaongea kwa vitendo mbona serikali itatia adabu... bampa tu bampa hakuna haja ya kulalamika!
Unafelisha watoto na kuwaharibia maisha yao ya huko mbele kisa!!!??
 
Kweli tena! Wana muda saana tena ukute shule zingine wanatoka sa tisa mchana!!! Huo mda uliobaki badala ya kufanya mambo ya maana sijui wanautumia kwa kazi gani
 
Daah! Ni kweli mshahara mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…