Leon swaty
Member
- Oct 14, 2016
- 13
- 10
Daaah.....serekali ijaribu angalau kuangalia maisha ya waalmu jaman........kazi ni kubwa lakin mshahara mdogo......waalimu hawapati mda wa ziada kufanya extra work ili angalau kuongeza kipato........makato ni mengi sana,,,,,,hivi serekali mnafikiri kukomoa waalimu au??Waalimu hawapati stahiki zao kwa mda......ni inakaribia mwaka sasaa hakuna
1;increment
2;waalimu hawajapanda madaraja
3;madai yao hayajalipwa kama pesa za kujikimu,uamisho etc
4;mazingira wanayoishi ni magumu sana especially vijijini
5;Teaching materials kwa vijijini hakuna hata....hivi umtegemee mwalimu wa somo atumie simu yake ku google notes za wanafunzi au
[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Embu serekali jaribuni kutatua matatzo ya waalimu then ndo muanze kulalamika kwa nn matokeo mabovu....
hao uanaosema wanamshahara sawa na wwalimu wao wana posho za katikati ya mwezi, posho za vikao na marupurupu mengine yanayowafanya wawe tofauti na mwalimu. pia usitake kufanya ulingaanisho wa walimu na kada zingine, walimu ni muhimu kipekee kwani ndio wwanaoandaa wataalamu na viongozi.Nanyi mmezidi mno kulalamika,mbona mishahara yenu inalingana kada nyingine,mf Kilimo,Watendaji wa Kata etc.
Lkn wao hawalalamikii mshahara
(Labda ungesema posho,sawa)
Kuhusu muda,walimu mna muda mwingi sana,mf kuanzia Ijumaa hadi Jpili mko free.
Hata baada ya saa za kazi hampati usumbufu wowote.
(Tumia muda vizuri kujishughulisha na mambo mengine)
Mawazo mgando. Utakua wa chato wewe, kule ambako walikua wanajua mwalimu Nyerere bado ni rais!
!
endeleeni na wito wenu...ninyi ndio huwa mnakuwaga mbele kabisa kwenye kampeni, Safari hii mpaka muelewe hesabu
Mawazo mgando. Utakua wa chato wewe, kule ambako walikua wanajua mwalimu Nyerere bado ni rais
zezeta wewe. ulipata alama ngapi kunishinda. kama unaakili, weka cheti chako na mm niweke changu. mimi sikufeli na hakuna maksi za ualimu, bali mtu kua mwalimu ni kutaka kake kulingana na sababu mbaliambali.
zezeta hujikita kokosoa 'typing errors' badala ya kuangalia dhamira ya muadhishi.!
!
Jifunze kuandika vizuri mwalimu. Maksi tunatafuta darasani, mtaani tunatafuta pesa. Endelea kuisoma namba na wito wako. Kwanza tuna mpango wa kurudisha sare kwa waalimu pia ili mfaidike kwenye daladala teh teh teh.
ukihitaji msaada wa kimawazo na kifedha, usisite kuomba. lofa wewe
sina haja ya kuendelea kuzungumza na mjinga. nilitokea baada yaa kuona umeongea maneno yaanayoashiria wivu wa chuki kwa walimu. acha wivu wa chuki kwa walimu, fanya maisha yako.
asakari aliyefeli kidato cha nne anapokea jumla ya Tsh: 600,000 kama posho na mshahara baada ya maakato yote.Walimu mungu anawaona mmh hivi kati ya askari na mwalimu nani ana salary kubwa lakini mbn wote wanaishi kikubwa budget yako isivuke salary
jioni njema dada. msalmie shemeji!
!
Sawa bwana mkubwa. Naona mida ya tuition imefika sio. Hivi tuition nayo ni wito?
jioni njema dada. msalmie shemeji