Walimlea wenyewe leo wanalia nini.

Walimlea wenyewe leo wanalia nini.

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,880
Reaction score
63,433
Safi sana Musiba kama una majina mengine hatari kesho ongezea, ndani ya gazeti pendwa, tunajua humo CCM bado wapo wengi tu walio hatari zaidi.

Walikulea wenyewe watafune, tulipokuwa tunasema walikuwa wanashangilia walidhani hayatawafika.

FB_IMG_1522308272125.jpg
 
Safi sana Musiba kama una majina mengine hatari ongezea.

Walimlea wenyewe ngoja awatafune tulipokuwa tunasema walikuwa wanashangilia walidhani hayatawafika.

View attachment 915308
"Akishatumaliza sisi, atakuja kwenu" alijisemea Tundu Lissu wa watu....

Baba alishaanza naona na makandokando yake nayo TAYARI YAMEKWISHA ANZA!!
 
"Akishatumaliza sisi, atakuja kwenu" alijisemea Tundu Lissu wa watu....

Baba alishaanza naona na makandokando yake nayo TAYARI YAMEKWISHA ANZA!!
Mungu ampe maisha marefu Lissu apone haraka aje awaone waliokuwa wakimcheka.
 
Sijaelewa hii lugha. Yaani, walimlea msiba alipokuwa Musiba?? Au m/kiti alipokuwa msema ukweli kipenzi cha Maulana??
 
hivi kwa mliowahi kukutana live na Hugo msiba hivi yuko kama binadamu wengine tulivyo au ana namna yake ya mwonekano
 
Sawa tu mmeileta kwenye foto lkn ujumbe umefika.
 
Kwani walipokuwa wanasema UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA hawakuelewa?
 
"Akishatumaliza sisi, atakuja kwenu" alijisemea Tundu Lissu wa watu....

Baba alishaanza naona na makandokando yake nayo TAYARI YAMEKWISHA ANZA!!
Nilivyoona katangaza kwamba mahari ya mkewe alilipiwa na jk nikagundua huyu kumbe hamnazo..
Ngoja asaidiwe kugongewa sasa.
 
Huyu Musiba kwani amefanya tukio gani mbona sielewi, naona Musiba Musiba.. kunani waungwana tufahamishane hapa.
 
Back
Top Bottom