Walimi wakuu Mtwara wavuliwa nyadhifa zao

Walimi wakuu Mtwara wavuliwa nyadhifa zao

ikhlas

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
1,098
Reaction score
1,435
Amani iwe kwenu,
Walimu wakuu wote mkoani Mtwara ambao shule zao zimevurunda katika mtihani wa shule ya msingi mwaka 2016.

Aidha rungu hilo limewashukia pia maofisa wa 4 na baadhi ya walimu wa kawaida katika shule zilizovurunda.

Mkuu wa mkoa ndio alikiwa pilato wa hukumu hiyo.

Je unadhani hatua hio ichukuliwe na wakuu wa mikoa yote ilio felisha??
Hapa work tu....
 
Amani iwe kwenu,
Walimu wakuu wote mkoani mtwara ao shule zao zimevurunda katika mtihan wa shule ya msingi mwaka 2016.
Aidha rungu hilo limewashukia pia maofisa wa 4 na baadhi ya walimu wa kawaida katika shule zilizo vurunda.
Mkuu wa mkoa ndio alikiwa pilato wa hukumu hio,
Je unadhani hatua hio ichukuliwe na wakuu wa mikoa yote ilio felisha??
Hapa work tu....
Hao walimu wa kawaida wamechukuliwa hatua gani tujue hilo kwanza ili tujua cha kuanzia mahakaman dhidi ya huyo mkui wa mkoa mkurupukaji.
Lakin pia nikurekebishe kufeli kunatofautiana sana na kufelisha labda utupe pia ufafanuzi kwa hilo.
Lakin kama shule hizo watoto wamefeli kupita kuasi basi ni dhahiri hakuna uwajibikaji hapo.
 
Amani iwe kwenu,
Walimu wakuu wote mkoani mtwara ambao shule zao zimevurunda katika mtihan wa shule ya msingi mwaka 2016.
Aidha rungu hilo limewashukia pia maofisa wa 4 na baadhi ya walimu wa kawaida katika shule zilizo vurunda.
Mkuu wa mkoa ndio alikiwa pilato wa hukumu hio,
Je unadhani hatua hio ichukuliwe na wakuu wa mikoa yote ilio felisha??
Hapa work tu....
maafisa hao ni Wa wilaya gani fafanua
 
Back
Top Bottom