Walikuwa vimbelembele kumbe wana vyeti vya kughushi

Akili zako zinaonesha hata cheti feki huna. Ulipoenda kwa mchonga feki, alikutimua kuwa utamkamatisha soon
Hapana mkuu ninacho shule nimeenda kabisa na nikafauli ila wamama wa kijijini kwetu walitulea kwa kutupa kijiko cha gongo kila baada ya lisaa ili walime tusiwasumbue matokeo ndo haya mkuu,ningekuwa nimechonga cheti hakika aliyechonga ningesha mkamatisha lkn bahati nzuri hayupo changu ni OG mkuu[emoji119]
 
Vyeti Og vinapatikana wapi bila kubukua mkuu?
Ndo waanzishe darasa la watu wazima,yaani wenginewapigwe na umande wao waje kwa njia za panya noo!! Hawanagabuchungu coz hawajapigwa na umande hawa jamaa!!
 
Hata mimi sijaelewa

Tuwe tunaandika kitu kinachoeleweka

Mkuu umegonga BALIMI ngapi hadi unaandika hii Kitu.?!!!

Jamani mbona jamaa kaandika kwa uwazi kabisa. Ni ngumu kumuelewa kama utasoma ujumbe wake bila kuunganisha na heading ya ujumbe.

Kwa kifupi jamaa anasema wababaishaji mara nyingi ujifanya wako smart na pengine kuchongea wenzao kama survival strategy kazini wakati watu smart hawana hizo. Kwa kifupi anatujulisha indicator nyingine ya kubaini mfanyakazi mwenye cheti fake - mjuaji sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…