Waliimu tumerudi kazini kwa kulazimishwa lakini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliimu tumerudi kazini kwa kulazimishwa lakini!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Eghorohe, Aug 7, 2012.

 1. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 2. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  mhh..kazi ipo ,,lazima mtu ukae kwa stahili hiiii
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Sisi waalimu wa History ndo watatukoma. Tunaenda kuwafundisha watoto kuwa " MTU WA KWANZA DUNIANI ALITOKANA NA MBWA!! Mweee! Mtaipenda hiyo mwaka huu.
   
 4. K

  KALEBE JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  jamani hivi mnajua kuwa hakuna watu hatari kama walimu duniani madhara yao hayawezi kuonekana kirahisi kama walivyo madaktari na kada nyingine lakini madhara yake yanatokea baada ya miaka kadhaa na hii inaathiri uchumi wa taifa na maendeleo kwa ujumla je serikali mnalijua hili au mnajua kukimbilia mahakamani tu je mnajua ni kitu gani kilicho mioyoni mwa walimu hawa je mnajaribu kufuatilia ni kitu gani kinachofundishwa na walimu hawa je mmejiuliza ni kwa nini kumekuwa na matokeo mabovu kwa kipindi ambacho walimu wamekuwa na mgogoro na serikali au ni kwa sababu watoto wa wakubwa wanasoma kwenye shule ambazo walimu hata siku moja hawafikirii suala la mgomo maishani mwao kama ukweli ndio huu basi tusitegemee jipya nchi hii kwa maana ya kuwa watoto wa watawal wataendelea kuwa watawala na watoto wa wakulima wataendelea kuwa watawaliwa mpaka mbingu itakapofunuka
   
 5. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  muda si mrefu tutatawaliwa tena kwa mtindio mkubwa wa ubongo tulio nao! eti kwa vile daktari akigoma matokeo yake yanaonekana leo ndiye muhimu, lakini mwalimu ambaye kwa siku naweza kusema hana mapunziko kabisa kulingana na nature ya kazi yake ya kuandaa taifa la kesho(wanasiasa, wahasibu, askari,wakulima,wafugaji, raia wema nk) wanaoneka si lolote simply bcoz siyo askari(hawawezi pindua nchi) siyo wabunge(hawawezi kukataa kupitisha bajeti hovyo ya ulaji wa wachache) siyo madaktari(hawawezi kugoma na kusababisha wapiga kura kuinyima nyinyiemi kura) na wengine wengi wanaukuwa valued kimaslahi kwa kuwachinchia mbali wanaostahili zaidi. Mfano TRA mishara mikubwa ili eti wasiibe na waongeze ufanisi wa kazi! hapa hapa inasahaulika kuwa kama mkulima /mfugaji/wafanyabiashara na wazalishaji wengine kama wasipo wezeshwa kitaaluma na motisha nyingine uzalishaji utakuwa ni wa kujikimu tu !hivyo hata tra walipwe trilions of money kwa mwezi watakusanya kodi kuta wapi? labda kusimu na ndio maana tumefikia hata hatua ya kutegemea pombe na sigara kama vyanzo vikubwa vya kodi.
   
 6. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mh kwel kazi ipo...
   
 7. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  "LIWALO NA LIWE" ndo mzee wa kaya anavyodai. Naamini siku moja litakuwa tu!
   
 8. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hii kusema kweli imekaa vibaya;hapa wa kulaumiwa ni serikali na mahakama.Nasema hivyo kwasababu,serikali imeshindwa kutimiza wajibu wake msingi kwa walimu.Na baada ya kuona wemeshikwa pabaya wanakimbilia mahakamani na mara zote mahakama inaisaidia serikali pamoja na uzembe wote unaofanywa na serikali lakini cha ajabu mahakama inakubaliana na serikali na walimu ambao ndiyo wako sahihi;hii inafanya nishindwe kuwa na imani na mahakama za TZ.
   
Loading...