Walifutiwa matokeo std vii 2011 kurudia mtihani sept, 2012

Mkondakaiye

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
838
174
Naibu waziri wa elimu ndugu ametangaza kuwa wanafunzi wote darasa la saba 2011 waliofutiwa matokeo watarudia mtihani huo septemba 2012. swali ninalo jiuliza kwanini waswape mtihani mapema ili wajiunge na wenzao kdt I mwaka huu, pili ni jinsi gani watawapata wale dada zetu ambao baada ya kuona wamufutiwa sasa wapo dar kama mahouse girl na kaka zao kama mahouseboy au tayari wako mtaani kama wamachinga.
Tujadili
 
kwa kuwa wako Tanzania na wala sio Tanganyika hawana cha kupoteza, wavumilie!
 
Viongozi tulionawo wamezeeka kifikra, siku zote humtazama aliyeinywa sumu na sio mtoa/mtengeneza sumu
 
Ile ni kuwaonea sana wale watoto.....na kuwapotezea muda kusonga form one wanabakia std 7...aahhh gosh!!
 
Hakuna wizara ya kisenge kama wizara ya elimu Tanzania, mawaziri waliongoza wizara hiyo wamekosa utashi wa mawazo mfano
@Mungai,alifuta michezo,book keepn, commerce,agriculture na kufanyia fusion chemistry na physics
@umeona wapi mwizi akapewa 2nd chance ya kuiba? nidhamu ya elimu iko wapi shule imefutiwa matokeo ikapewa nafasi tena wanafunzi wafanye tena ujinga
@syllabus inabadilika kila cku wanafunzi walimu inawachanganya je wanafunzi itakuwaje?
@mtihani wa darasa la nne ni kama haupo, wa la saba multiple choice,wa form two umepoteza maana kulikuwa na average ya 30% wanafunzi vilaza wakadai ni kubwa sana wizara inafikiria kushusha hadi 25% je kuna umuhimu gani mtihani huo uwepo? nk,yani kuna mauzauza kibao katika elimu ya Tanzania
 
Back
Top Bottom