Walichotegemea na kinachokuja ni Vitu Viwili tofauti...Jirani

Angalau wao wana Uhuru wa kukosoa ingekuwa hapa wangewekwa sungusungu kwenye mitandao ya jamii kuangalia wanao mdrive drive.
 
Reactions: ydn
Baada ya kutushinda kwa kila kitu,wameenda mbali sasa hivi wanatushinda hata uhuru wa kuongea.
 
Hiyo kali hivyo wanalalamika!!!Thithi tinawaletea ile ya karne ilee na ladhma mshangilie.

 
Reactions: ydn
Kwanini Afrika Gondwanaland halafu Ulaya Laurasia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…