Haijalishi hali gani unapitia, jamii inakutegemea zaidi ya unavyoitegemea

Third eye judge

Senior Member
Aug 9, 2016
133
119
Tunapambana kujishughulisha, kazi, mmasomo, mahusiano, na kila kinachokuja mbele yetu. Chakustaajabisha nguvu ya kutukwamisha ni kubwa zaidi kiliko ile ya kutuvusha kwenda mbele.

Tunaowategemea wawe Kama daraja kwetu kututoa Kwenye wingu zito la utata na changamoto za maisha haya, ajabu Sana wao ndio Mara nyingi wanakuwa sababu ya sisi kutukatisha tamaa, kuturudisha nyuma, kutusema vibaya, kutukejeli, kutufanyia fitna kwa jamaa zetu, na hata kutuchukia bila ya sababu yoyote ile ya msingi na hata kufurahia pale tunapopatwa na matatizo.

Ajabu zaidi, pamoja na madhila yote Hayo wanayotufanyia, watu Hawa baadhi yao hutegemea mema kutoka kwetu.

Hii imekaaje walimwengu kuwa hivi?
 
Maisha ni fumbo tata!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom