bryan2 JF-Expert Member Jun 8, 2016 3,323 4,667 Dec 20, 2016 Thread starter #2 bryan2 said: View attachment 448578baadhi ya kommenti za majirani zetu Click to expand...
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Dec 29, 2014 15,271 29,879 Dec 20, 2016 #3 Danganya Toto Upo sehem kubwa ya Dunia
mjasiliaupeo JF-Expert Member Apr 21, 2013 2,151 3,066 Dec 20, 2016 #4 Angalau wao wana Uhuru wa kukosoa ingekuwa hapa wangewekwa sungusungu kwenye mitandao ya jamii kuangalia wanao mdrive drive.
Angalau wao wana Uhuru wa kukosoa ingekuwa hapa wangewekwa sungusungu kwenye mitandao ya jamii kuangalia wanao mdrive drive.
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,954 Dec 20, 2016 #6 Baada ya kutushinda kwa kila kitu,wameenda mbali sasa hivi wanatushinda hata uhuru wa kuongea.
Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Dec 20, 2016 #7 Hiyo kali hivyo wanalalamika!!!Thithi tinawaletea ile ya karne ilee na ladhma mshangilie.
Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Dec 20, 2016 #8 Ambiele Kiviele said: Danganya Toto Upo sehem kubwa ya Dunia Click to expand... Waliokubali na kuridhika kuitwa dunia ya tatu shida ni kubwa zaidi.
Ambiele Kiviele said: Danganya Toto Upo sehem kubwa ya Dunia Click to expand... Waliokubali na kuridhika kuitwa dunia ya tatu shida ni kubwa zaidi.
bryan2 JF-Expert Member Jun 8, 2016 3,323 4,667 Dec 20, 2016 Thread starter #9 Kwanini Afrika Gondwanaland halafu Ulaya Laurasia?