Ukiipigia ukawa-chadema edward lowasa hautalipa kitu chochote, ula ukiwaweka vibaraka wa lumumba shughuli imekwisha utalipa ada wewe na vizazi vyako vyote
Maisha ya pale NIT ni ya kawaida. ila kupata hostel pale ni kazi kubwa, maana hostel za pale zinaweza kubeba wanafunzi 320 na malipo kwa semester moja ni Tsh 100,000/=. Kama unataka kupata hostel inabidi uwai kufka ili uweze kuomba mapema. but pia kuna hostel za nje ya chuo ambazo malipo yake ni kuanzi Tsh 45,000/= kwa mwezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.