Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
watu bwana, eti wanasoma magazeti waandishi weneywe vilaza, umepata kukutana na walibya? walioko nje ya libya jinsi wanavyo msema Gadafi? Gdafi ni dictator, ila wasiojua wanamwona malaika, ni kama kagame na museveni.......WAO WENYEWE WANAANDAMANA LEO HII MTANZANIA ANASEMA WATAMKUMBUKA, nacheka mie!